Kwanini Wazanzibari Hawana Vichogo?

Kwanini Wazanzibari Hawana Vichogo?

Ngoja niwajuze sababu halisi ya asilimia kubwa ya wanzazibari kukosa vichogo.Asilimia kubwa ya wazanzibari ni waislamu na kwa wanawake huwa wanaswali. Mwanamke sio tu wa kizanzibari bali wa kiislamu kuwa na mimba sio sababu ya kumfanya asiende msikitini kuswali au hata kuswalia nyumbani.hivyo basi wanawake wa kizanzibari wanapokuwa na mimba wanaswali mpk pale hali itakapokuwa haimruhusu kabisa.kitendo hicho hupelekea mgandamizo katika mfuko wa uzazi wenye mtoto kwa sababu ya kuinama (kurukuu) na anapokwenda kusujudu (sijda).kwa siku ni swala tano na kwa sababu ni kitendo cha kilasiku ndio hiyo hali hutokea.
 
mpaka sasa sijaelewa mnazungumzia kichwa kipi..
 
Roho imeniuma uliposema watoto wadogo miaka hiyo wameshajua kero za muungano ila cha kushangaza mpaka sasa hawafanikiwi tu kutwaa mamlaka kamili yaliyotwaliwa na tanganyika.
Mkuu,Wazanzibar wanauelewa mkubwa sana kwenye somo la uraia,na historia ya kisiwa chao japo kuwa upotoshaji pia umejaa.Nadhani madrasa inamchango mkubwa sana katika hili la kuwafanya wajitambue mapema sema unafiki na usaliti wa wanasiasa wazanzibar ndo unaufanya muungano uwepo.
 
Ngoja niwajuze sababu halisi ya asilimia kubwa ya wanzazibari kukosa vichogo.Asilimia kubwa ya wazanzibari ni waislamu na kwa wanawake huwa wanaswali. Mwanamke sio tu wa kizanzibari bali wa kiislamu kuwa na mimba sio sababu ya kumfanya asiende msikitini kuswali au hata kuswalia nyumbani.hivyo basi wanawake wa kizanzibari wanapokuwa na mimba wanaswali mpk pale hali itakapokuwa haimruhusu kabisa.kitendo hicho hupelekea mgandamizo katika mfuko wa uzazi wenye mtoto kwa sababu ya kuinama (kurukuu) na anapokwenda kusujudu (sijda).kwa siku ni swala tano na kwa sababu ni kitendo cha kilasiku ndio hiyo hali hutokea.

Mkuu

Mbona hata bara waislamu swala tano wapo na wananasa mimba na kuzaa watoto wenye visogo mchongoko?

Mkuu

Mbona hata bara waislamu swala tano wapo na wananasa mimba na kuzaa watoto wenye visogo mchongoko?

Ni kweli unachokisema ila ni kwamba ratio ya bara ni ndogo sana ukilinganisha na zanzibar na ndio maana hata wabara wasio na vichogo pia wapo ila ukilingasha na wazanzibar ni utaona waznz ni wengi kwa kuwa na vichogo.
 
Huko Zenji unajulikana kuwa si Mzanzibari na kuitwa chogo.

Wao mtoto akizaliwa wanamkanda kwa kutumia mfuko wenye mchanga kisogo na ndo maana wanakuwa na chogo bapa. Ni sehemu ya utamaduni wao.

Kwa njia hii ndo wanaharibu akili za watoto wao
 
Kwann wanawake wa KICHAGA wapo kama mchi, wamechongoka huku chini lakini vifuani kama wananyonyesha magereza
 
kukosa vichogo havisababishwi na kuswali swala tano mkuu,kama wapo hivyo hayo ni maumbile yao tu waliyojaaliwa na mwenyeezi Mungu kama ambavyo yapo china wana macho madogo.Saudia wanawake pia wanaswali sana lakini wapo wenye vichogo kwa maoni yangu.
 
aisee mkuu.hembu tuambie wanazifanyaje mpk zinakuwa hivyo.siri ya urembo tafadhali.

Well!
Kwa uchunguzi wangu nilioufanya nilibaini kwamba sababu kubwa ni kwamba hawakai kwenye sofa wala kwenye makochi,wao muda wote ni kwenye mikeka tuuuuu!!!!
so hiyo inasababisha misuri ya "K" iwe taiti sana na kuifanya "k" iwe taiti sana.
Yani mtoto wa kuzenji ukimpata mbona utafaidi,but hawavai shanga na wala hawajui kukatika kimakonde.
 
Kwann wanawake wa KICHAGA wapo kama mchi, wamechongoka huku chini lakini vifuani kama wananyonyesha magereza

Kweli kabisa, wengi majonh bravo! Alafu nasikia ile unyanyasaji wa kijinsia na wachaga ipo ila ni kinyume, wanaume wanapewa vichapo! Hii niliisikia majuzi juzi tu redioni.
 
Ngoja niwajuze sababu halisi ya asilimia kubwa ya wanzazibari kukosa vichogo.Asilimia kubwa ya wazanzibari ni waislamu na kwa wanawake huwa wanaswali. Mwanamke sio tu wa kizanzibari bali wa kiislamu kuwa na mimba sio sababu ya kumfanya asiende msikitini kuswali au hata kuswalia nyumbani.hivyo basi wanawake wa kizanzibari wanapokuwa na mimba wanaswali mpk pale hali itakapokuwa haimruhusu kabisa.kitendo hicho hupelekea mgandamizo katika mfuko wa uzazi wenye mtoto kwa sababu ya kuinama (kurukuu) na anapokwenda kusujudu (sijda).kwa siku ni swala tano na kwa sababu ni kitendo cha kilasiku ndio hiyo hali hutokea.

Hahahaha weye muongo huu uingo wako umenivunja mbavu dr lpl
 
Nimesoma na wazanzibar wasiopungua 9 since primary mpaka secondary,ni kweli hawana kabisa visogo na wote walikuwa vilaza wa kutupa kwenye masomo sasa sijui kuna uhusiano Kati ya hivyo vitu viwili.

Kali kuliko ni kwamba madogo walikuwa wanazijua Kero za muungano tukiwa darasa la pili lakini Multiplication table hata ya 2 chalii.

Wewe ni muongo mzandiki, katika vyuo vikuu vyote vya Tanzania wanaoongoza kwa kushika nafasi za juu ni Wazanzibari na hasa hasa wanaotoka kisiwa cha Pemba, kitendo cha wewe kusema kama watoto wa darasa la pili wanazijua kero za muungano ni kuthibitisha kama hawa watu wapo juu kiakili na umewakubali kiaina ingawa mchango wako ulikua wa chuki zaidi
 
Back
Top Bottom