Kwanini Wazanzibari Hawana Vichogo?

Kwanini Wazanzibari Hawana Vichogo?

Alafu mademu wa kizenji "kitu mnato balaa"yani utamu hauishi,but wengi wao ni flat scren.
 
mi nadhan ni genetic, weng wao wako hvo. Nawala chogo haihusian na akili, maana nimewah kusoma na wazanzbar wachache na wapo vizur tu darasan.
 
nimekaa zanzbar miaka 3 hivi, kisogo pia ni alama yao moja ya kukufaham kua unatoka bara hata kabla hujaongea
 
Tutsi v/s Hutu.... I can see it coming....! Wabeligiji walikuwa wanatofautisha Watusi na Wahutu kwa kuwapima vichwa kwa "tape measure"!!!!!
 
Watu wenye taahira ya akili na mtindio wa ubongo pia huwa hawana visogo. Sasa sina uhakika kama kuna uhusiano hapo
 
Tutsi v/s Hutu.... I can see it coming....! Wabeligiji walikuwa wanatofautisha Watusi na Wahutu kwa kuwapima vichwa kwa "tape measure"!!!!!

Wewe Ni Muongo na wala haufahamu unachoakiandika, Wabelgiji hawahusiani na ugomvi wa Unyarwanda hata kidogo!
 
ujue chogo ndio mpango mzma coz nafasi ya akili inakuwa kubwa BUT vichwa bapa havina nafas ya kutosha kuifadhi akili,ata utashi wao ni mdogo,ingewezekana kla mwanadamu angekuwa kama baba ndumbwi, chogo oyeeeee!!
 
Wazanzibar wakizaliwa wazazi wao wanawapaka au wanawakanda na mafuta ya karafuu kama wakiwa na vichogo. Then vichogo vinaondoka wanakuwa flat . Hivi ndio navyojua mimi. Kwa anayefahamu tofauti naomba anitoe kasoro
 
Hivi ni kwanini Wazanzibari walio wengi hawana vichogo kama sisi wa Bara? Yaani vichwa vyao kwa nyuma vimepigwa pasi na havijachongoka kama vya kwetu Wabara!

Yakheee, ebu leta picha tuone kichwa chenye chogo (analogue) na kilicho mtelezo (digital)!!!
 
Hivi ni kwanini Wazanzibari walio wengi hawana vichogo kama sisi wa Bara? Yaani vichwa vyao kwa nyuma vimepigwa pasi na havijachongoka kama vya kwetu Wabara!
Ha ha ha
Ni kwa sababu Maulana hakuwa amemaliza kazi Yake ya uumbaji kwa jamaa zetu hao.
Kwani umeshaona nyani ana kichogo?
 
Back
Top Bottom