Matatizo ya nguvu za kiume yaliyofichika miaka 2000 iliyopita. Siri iliyogunduliwa na wanasayansi wa Misri

maishakujipanga

Senior Member
Feb 13, 2017
115
118
Kila siku mfalme wa China Kang Xi Alitakiwa kulala na wanawake 9 kutoka katika Harem yake. Alitakiwa kumridhisha kila mmoja..

Hizi ni njia alizotumia ….
1662631082801.png

Ugunduzi huu unaonesha
  • Dawa na njia walizotumia kuongeza hamu ya tendo la ndoa
  • Kusimamisha kwa muda mrefu sana ( wanawake 9 usiku mmoja)
  • Uume mrefu na kukimbiza goli nyingi bila kuchoka
  • Walitumia sana Wafalme kuashiria nguvu katika ufalme wao
Ilikuwa September 1990 Wanasayansi waligundua dawa iliyotumika ambayo inaweza kupenyeza hormone zako na kubadirisha mfumo wako wa nguvu za kiume kwa kukuongezea nguvu na uimara, vilevile kukufanya upande mlima kwa muda mrefu sana

Dawa hiyo ilithibitishwa na wanasayansi mbalimbali na kufanyiwa utafiti na Vyuo na hospitali mbalimbali dunia nzima.
Ingawa hii dawa imetumika misri miaka 2000 iliypita, vilevile
ilitumiwa na Wafalme wengi wa China kuweza kuongeza nguvu kuonesha ubabe wao kwa wanawake

“Mfalme Kang xi (1654-1722) alikuwa na wanawake 79, na Masuria wasio na idadi katika himaya yake”

Story ilikuwa hivi………………….
Katika historia ya china, Wafalme wa china walikuwa na ngome kubwa zilizokuwa zimejaa wanawake wazuri wa kutosha.

Lakini lengo la kuwa na hawa wanawake haikuwa kwa ajili ya kustarehesha bali ilikuwa ni kutokana na Imani kwamba Mfalme alitakiwa kufanya mapenzi na wanawake hao wote. Pia alitakiwa kuhakikisha kila mwanamke anamfikisha kileleni

Kwanini walifanya hivyo…?
Waliamini kuwa maji kutoka kwenye mshindo wa mwanamke, yalikuwa na nguvu (Energy) pia waliamini wakati wa tendo mwanaume angeweza kuvuta zile nguvu kupitia mashine yake Hii iliitwa (Drinking From Jade fountain)

“Jinsi Mfalme alivyoweza kuwafikisha wanawake wengi kileleni, Ndivyo angeweza kuvuta nguvu zaidi na kupata nguvu za kiufalme”

Mfalme alitakiwa kulala na wanawake wengi kadri awezavyo na alitakiwa kuwaridhisha wote.
Cha ajabu ni kwamba mfalme alitakiwa kuwa makini sana wakati wa kumwaga. Kwanini??

Waliamini kuwa kumwaga kungempunguzia nguvu zake. Kwahiyo alitakiwa kumwaga pale tu alipokuwa na lengo la kumpa mwanamke Mimba.
Maisha ya mfalme kufanya mapenzi yalikuwa katika mzunguko kama huu
Kila usiku aliletewa wanawake 9 kutoka kwenye Harem yake, (Namba 9 ni namba ya bahati kwa tamaduni za kichina)

Hivyo angefanya mapenzi na hao wanawake tisa na kuhakisha wote wamefikia mshindo. Mwisho anachagua mwanamke mmoja ambaye ataweza kumzalia mtoto mwenye afya

FIKIRIA NGUVU AMBAYO ILIHITAJIKA KUFANYA HII KAZI…

KWANZA: Mfalme alitakiwa kuweza kusimamisha kwa muda mrefu
PILI: Mfalme alitakiwa kuwa na nguvu ya kuwaridhisha
TATU: Mfalme alitakiwa ajizuie asikojoe mpaka wanawake wote wazuri katika falme yake wafike mwisho (Ebu fikiria kulala na wanawake tisa mmoja baada ya mwingine)
NNE: Alitakiwa atoe shahawa za kutosha kuweza kumfanya mwanamke wa mwisho kulala naye apate mimba
TANO: Alitakiwa kufanya hivi kila siku

1662631657018.png

Je Wafalme waliwezaje kupata Hiyo nguvu yote ya kuwaridihisha wanawake 9 kila siku????

Wanasayansi waligundua sababu mbli kuu
1. Style (Sex positions)
2. Dawa za kuzuia mwili kuzeeka (anti-aging tonics)
Moja ya dawa iliyochanganywa katika hizo dawa inajulikana kitaalamu kama cordyceps

1662631757128.png

Cordyceps ni mmea jamii ya uyoga unaopatikana katika milima ya Himalaya kilometa 9800 mpaka 1600 kutoka usawa wa bahari (ndo maana ilikuwa ngumu kupatikana) iliweza kununuliwa na wafalme na matajiri tu wenye nguvu.

Baada ya hapo mambo mawili yalitokea

  • Wanasayansi wa china wakagundua namna ya kuikuza katika mazingira ya kawaida kwahito ikaweza kupatikana kwa watu wa kawaida
  • Mwaka 1993 wachina walivunja rekodi ya bio za dunia (Word record) mbio ndefu na mbio fupi
  • Waandaaji walihisi labda wanatumia madawa lakini vipimo vikaonesha damu yao iko safi.
    Kocha wao ndipo alisema kwamba aliwapatia dawa ya zamani iliyoitwa cordyceps
Baada ya hizo taarifa ndipo wanamichezo wengi wakaanza kuitafuta na wanasayansi wakaanza kuichunguza

Baadhi ya tafiti zinaonesha kuwa
1. Dawa inaongeza nguvu na ustahimilivu wa muda mrefu
2. Hamu ya kufanya mapenzi
3. Inaongeza kiwango cha shahawa na zenye rutuba
4. Inasafisha mishipa ya damu na kuongezea kasi ya kusafirisha Damu

Kama una Moja ya matatizo yafuatayo unahitaji hii dawa
  • Kujisikia uchovu na Uvivu
  • Kumbukumbu na umakini wangu sio kama ilivyokuwa zamani
  • Najikuta mpweke sana na mawazo
  • Napata hasira sana
  • Sina hamu ya tendo la ndoa kama zamani
  • Nimepoteza nguvu za misuli na kusimamisha muda mrefu
  • Mwili unauma na kukakamaa
  • Nafika kileleni haraka sana
  • Umekosa kabisa hamu ya tendo la ndoa
  • Mtoto wako amezaliwa hivyo
  • napata shida kupunguza mafuta mwilini
Kama umekutana na tatizo lolote kati ya hayo, wewe ni kati ya mamilioni ya wanaume wenye matatizo katika homoni zao za ujana.

Maswali yanayoulizwa

Je ni dawa salama kutumia?
Hii dawa imewasaidia watu wengi. Hatujawahi kupokea malalamiko hasi kuhusu hii dawa

Nitaaminije kama hii dawa itafanya kazi?
Kutokana na shuhuda zetu, endapo hii dawa haitafanya kazi kwako tutakurudishia pesa zako

Napataje hii dawa?
Ukiweka order yako dawa itaandaliwa utaipata ndani ya siku tatu tutakutumia popote ndani ya Tanzanian Uganda na Kenya

Kwa maelezo zaidi piga simu namba +255747558143
 
Nilijua tu nitangazo la biashara maana limezunguka sana ,mzee jipange upya
 
Ukitaka kupiga pesa, we singizia tu nguvu za kiume.

Watakuja mkuu, kila la heri.
 
Pia waambie wagonjwa wako:

Wale vizuri
Wapime afya ya moyo
Wahakikishe sukari na presha viko sawa
Wafanye mazoezi
Wapunguze uzito
Wapunguze siteresi na msongo wa mawazo.

Ndiyo "dawa" yako itafanya kazi vizuri zaidi....
Kuna mtoto alizaliwa akiwa hawezi kabisa kusimamisha,

Alikuwa na miaka 16 lakini hajui huwa inasimamaje.

Ila alipona kabisa na kurudisha heshima yake mtaani saiv anakimbiza vibinti tu
 
Back
Top Bottom