mahari ni mahari tu..iwe ng'ombe au pesa ni mahari tu..labda kama tian kwao hakuna mahari..hapo sawa..
Wachaga hawauzi watoto wao wa kike,
Mbege ndoo,mazima kidumu na mafuta hapo ni funga kazi,
Ndoo maana wanawake wa kanda ya ziwa wananyanyaswa sana,kwa kuwa huyo mume ana uchungu na hiyo mahari yake ya ng'ombe 50.
Hakuna manyanyaso yeyote! Tena tunawapenda wake zetu na kuwajali sn! Hujui wanaume Wa kisukuma wanaongoza kwa UPENDO?
Mmmhhh...siwezi kubisha ila najua wanaume wa kanda ya ziwa kwa mfumo dume ni nomaa
Wachaga hawauzi watoto wao wa kike,
Mbege ndoo,mazima kidumu na mafuta hapo ni funga kazi,
Ndoo maana wanawake wa kanda ya ziwa wananyanyaswa sana,kwa kuwa huyo mume ana uchungu na hiyo mahari yake ya ng'ombe 50.
Mmmhhh...siwezi kubisha ila najua wanaume wa kanda ya ziwa kwa mfumo dume ni nomaa
sasa hiyo mbege ya nini? na iko kidumu na mafuta vya nini?..si wamtoe bure tu?..af kuna wachaga nawafaham weng walitolewa mahari,pesa kiasi na vitu vingine juu
mayo nene nacha, mtt wa wp huyo?
weupe unawazuzua kina Ntuzu..samahani SEZAE..mfano tu
Tena walivyo Weupe sn akina miss chagga Yani unatoa zizi lote!
Ila batena amagolo, amagolo madii gete midenge ya basikeli!
Cc Ng'wamapalala Mjuni Lwambo
Tena walivyo Weupe sn akina miss chagga Yani unatoa zizi lote!
Ila batena amagolo, amagolo madii gete midenge ya basikeli!
Cc Ng'wamapalala Mjuni Lwambo
ahahahahahhahahah
amasimizilo...
Ndoho amagolo abhene! Na mapandilo gabho gatena lwizongo! Gale gete ga mbata!
ahahahhahahahahahahahah!
nitachunguza...