Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Afu mimi ni mweusi kama kaniki,nahisi soko langu kwa wasukuma halipo kabisa.

Msiishie kupenda uzuri wa macho tu,angalieni na tabia.

Mwanangu pole! Yani utazalia nyumbani bila kuolewa!
Weupe Dili sn kwetu!
 
Mwanangu pole! Yani utazalia nyumbani bila kuolewa!
Weupe Dili sn kwetu!

Nani aliyekuambia kuolewa siku hizi dili??Unafikiri hao walio kwenye ndoa zao juu ya weupe wa sura ni malaika au ni binadamu??

My dreams ni kuwa single mother,huyo mume hata simtakii .
 
nyie wasukuma ndio mnaosababisha akina dada full mkorogo siku hizi, uso wa kitoto miguu ya kizee
 
Nani aliyekuambia kuolewa siku hizi dili??Unafikiri hao walio kwenye ndoa zao juu ya weupe wa sura ni malaika au ni binadamu??

My dreams ni kuwa single mother,huyo mume hata simtakii .

Hiyo kwenu kimjini mjini Lkn kwetu sisi kuoa au kuolewa Dili kinoma na kuzaa watoto kibao! Alafu mwanamke anakua analima sn shambani km trekta! Alafu mwanaume unakula misele tu! Maana unakua umetoa ng'ombe kuposa! Nagolaga gelegeta!
 
Nawapa pole wanawake wa huko maana kazi wanayo.
 
Ntuzu miss neddy na Mshinga..kipindi kile miss tz hapiness magese alivotwaa taji,alifanyaga ziara mikoani..sasa alivofika mwanza alitembelea maeneo mbalimbali...abhagosha abhasukuma angu bhalina tuja,walitegemea anakuja miss mweupe nginu gete ..sasa aho oshika u hepi..abha jinja she bha mwaloni bhayumela

''agaya,abha swahili bhalinatuja shi,bhatatangagije aliza miss,miss..duhaya aliza ng'wanike opee ngololoku shiza,aliyo bhadenhela miss ke..miss ke ng'wenuyu adeni dako''

kwa hiyo Mshinga weupe nele dako ni added advantage usukumani..lol
ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,miss tanzania mweusi?????????????????????????huyo kweli walikoseaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,tukipewa wasukuma kutafuta mii tz wasau weusi kushinda, nimecheka saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
nyie wasukuma ndio mnaosababisha akina dada full mkorogo siku hizi, uso wa kitoto miguu ya kizee

hataaaaaaaaaaa hatusababishi, sisi wala hatujisumbui na wale weupe wa dukani nadhani hao soko lao lipo kwingine,wewe hujui kwa nini tumeposa wengi kwa mangi na waarusha,maana tunajua kule weupe ni wengiiiiiiiiiiiiiii ambao ni original, na wala huwa hatuji town kutafuta wake tunaendenda huko huko village,ukifika utajua tu kuwa huyu ni natural
 
ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,miss tanzania mweusi?????????????????????????huyo kweli walikoseaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,tukipewa wasukuma kutafuta mii tz wasau weusi kushinda, nimecheka saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana

Cc Mentor mwallu
 
Last edited by a moderator:
hapana chokoza wasukuma kabisa wote wameingia mitini Mshinga uko wapi wewe ndo nini kutuachia lisred ndo umesusa au hahahahahahahah au ndo huelewi kinachoandikwa na kina da mwallu

ukiwa unatafuta mke lazima uwe mkimya ili uonekane mpole,mwishowe ndege apeperuke bure,nani anapenda kupata mume eti muongeaji sana?
hata wakwe watashangaa.

ila taratibu naongea,alafu wewe si ndo nimupigie kabisa mzee aanze kuandaa ng'ombe tuje tughutighule?
 
Back
Top Bottom