Kwanini Wazanzibar hawatekwi na kupotezwa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,837
Reaction score
285,028
Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza

Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu (Malisa chupuchupu)

Nafahamu kwamba kwa uzi huu nitaitwa mbaguzi, hata hivyo sijali chochote hadi nipewe majibu, PEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI, haitawezekana tunyamazie hali hii kwa hofu za kijinga.

Kwanini ni Watanganyika pekee wanaotekwa na kuuawa?

Naomba kuwasilisha.
 
Kwanini wakati ule Zanzibar kulipokuwa na vile vikosi vya wavaa mask wanaopita mitaani kutembeza mikong'oto na kuchukua watu walioonekana mwiba kwa serikali, kwa Tanganyika hakukuwa na aina hiyo ya vikosi ?
au ndio tuseme huu ni wakati wa Tanganyika kupata the taste of their own medicine ?
kumekuwepo kwa Malalamiko kuhusu uwepo wa vikosi vya usalama vya Zanzibar (vinavyojulikana kama Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar - SMZ) kuwakamata, kuwapiga, au kuwanyanyasa wananchi—hasa wakosoaji wa serikali na wanachama wa vyama vya upinzani— matukio haya ya kissenge yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara na mashirika ya kutetea haki za binadamu na viongozi wa kisiasa
hicho kikosi hutumia jina la Mazombie kama sijakosea
 
Janjaweed na Mazombie hawapo tena Zanzibar
 
Katika mfumo wa vyama vingi, mambo haya ya kishamba ya kutekana yalianza Zanzibar.

Nakumbuka na sijasahau tukio moja kipindi cha Rais Salmin Amour, jamaa mmoja aliibuka kwenye TV akadai alitekwa na kuteswa akaponea chupuchupu, haya haya tunayoona na kusikia leo ya kina Sativa.
 
Kwanini wakati ule Zanzibar kulipokuwa na vile vikosi vya wavaa mask wanaopita mitaani kutembeza mikong'oto na kuchukua watu walioonekana mwiba kwa serikali, kwa Tanganyika hakukuwa na aina hiyo ya vikosi ?
au ndio tuseme huu ni wakati wa Tanganyika kupata the taste of their own medicine ?
kumekuwepo kwa Malalamiko kuhusu uwepo wa vikosi vya usalama vya Zanzibar (vinavyojulikana kama Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar - SMZ) kuwakamata, kuwapiga, au kuwanyanyasa wananchi—hasa wakosoaji wa serikali na wanachama wa vyama vya upinzani— matukio haya ya kissenge yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara na mashirika ya kutetea haki za binadamu na viongozi wa kisiasa
hicho kikosi hutumia jina la Mazombie kama sijakosea
Huu Uzi leo umenisaidia kuwajua Wazanzibar walijificha nyuma ya ID Feki
 
basi tunabadilishana
Kipindi ambacho Rais ni mtanganyika, wazanzibar wanapelekewa moto ile mbaya and vice versa.
Vipindi vyote marais wanakuwa ni wa CCM na waathirika ni wapinzani. Hata hayo mnayosema ya Mkapa ambayo inasemekana wanalipa kisasi ilikuwa ni CCM dhidi ya wapinzani. Ukirudi nyuma ya Jumbe, yalifanywa na CCM. Tuishi humo!
 
Back
Top Bottom