Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Hata hatuna kazi maana tumeishazoea

Kwi Kwi Kwi Kwi! Mwambie huyo ndugu yetu! Km na yeye akipenda aje! Lkn keshasema kua yeye ni mweusi!

Yeye Mahali yake itakua ng'ombe moja kutokana na rangi yake!
 
We usiseme hivyo wachawi. Sema WAKULUGENZI
Umenikumbusha filamu ya "Hatupumui". Siku ya kwanza kusikia yule mama akiita "Wakulugenzi" nikadhani nitaona watu wenye vitambi wakitokea kumbe ni "washirika/wakulugenzi" wenzake wakatokea ghafla.
 
Umenikumbusha filamu ya "Hatupumui". Siku ya kwanza kusikia yule mama akiita "Wakulugenzi" nikadhani nitaona watu wenye vitambi wakitokea kumbe ni "washirika/wakulugenzi" wenzake wakatokea ghafla.

Kwi Kwi Kwi! Mkuu wale wanamajina Makubwa sn!
 
Aahh wapi,unaishi ulimwengu wa nadharia,

Ndio wapi huko ulimwengu Wa nadhalia? Ndoa zetu hazivunjiki zinadumu! Fanya mchezo na Mahali wewe? Ng'ombe 50 Unafikiri mchezo? Utampenda tu mwanaume nolo ale nalogukuku! Teh Teh Teh Teh!
 
Unamdhaminisha mkeo na Ngo'mbe?

Alafu hiyo sentensi ya mwisho tafsiri tafadhali
 
Ndio wapi huko ulimwengu Wa nadhalia? Ndoa zetu hazivunjiki zinadumu! Fanya mchezo na Mahali wewe? Ng'ombe 50 Unafikiri mchezo? Utampenda tu mwanaume nolo ale nalogukuku! Teh Teh Teh Teh!

Huenda kelele zote hizo hata wa kumgegeda huna,seuze mke!!
 
Unamdhaminisha mkeo na Ngo'mbe?

Alafu hiyo sentensi ya mwisho tafsiri tafadhali

Kwi Kwi Kwi tian mambo ya wasukuma ndugu yng ya kuacha tu! Mengine yanafurahisha sn mengine kwa nyie Wa ulimwengu Wa wasomi mnaweza Sema ni ukandamizaji! Lkn tamaduni ktk makabila hasa kwetu hapa zipo sn nzuri na Mbaya!

Ila uzuri jamii zinakwenda zinaelimika na baadhi ya tamaduni zinaenda zinapungua!
 
Last edited by a moderator:
mahari ni mahari tu..iwe ng'ombe au pesa ni mahari tu..labda kama tian kwao hakuna mahari..hapo sawa..
Kwi Kwi Kwi tian mambo ya wasukuma ndugu yng ya kuacha tu! Mengine yanafurahisha sn mengine kwa nyie Wa ulimwengu Wa wasomi mnaweza Sema ni ukandamizaji! Lkn tamaduni ktk makabila hasa kwetu hapa zipo sn nzuri na Mbaya!

Ila uzuri jamii zinakwenda zinaelimika na baadhi ya tamaduni zinaenda zinapungua!
 
Last edited by a moderator:
ukiwa unatafuta mke lazima uwe mkimya ili uonekane mpole,mwishowe ndege apeperuke bure,nani anapenda kupata mume eti muongeaji sana?
hata wakwe watashangaa.

ila taratibu naongea,alafu wewe si ndo nimupigie kabisa mzee aanze kuandaa ng'ombe tuje tughutighule?

hahahahaha andaaa hao ng'ombe basi mshinga naliiisoga naliiiwape gete gete
 
Adobe Photo Shop @ work...ingawa hata mimi manzi akiwa mweupe naamini ndo mzuri...Africa..Nzima...!!
 
Watu wanajitahidi kuwa wabunifu yani mtu kuandika natafuta mchumba ameona imezoeleka sasa anaamua kutumia style ya picha na vimaneno kidogo, kutafuta mwenye vigezo anavyo penda yani weupe.
 
Back
Top Bottom