Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Umpige limbwata msikuma wakati huko ndo nyumbani...acha kuweweseka...ni malovedave wewe....

Na hilo limbwata nimewapiga familia nzima???

Maana mimi ni kipenzi cha wakwe na wifi zangu wooote....

Te te te...si wasukuma wote wanapenda kwa fashion....wako wanaojua nini wanataka

Okampyageja kalokomolo! Sio bure limbwata lilifanya kz!
tian
 

Kwi Kwi Kwi Kwi!

Si bure familia nzima!?
 

Nimecheka mpaka machozi hayaishi machoni. Dah haya bhana
 
Huyo anauzuri gani sasa.....chokesti vbaya sana
 
Kidemu chenyewe mbona kibovu hivyo, nywele ka kapigwa bomu!!!
Aargh...Umenikera kichizi,
Mi nkajua mtoto level za ..officiallyn.. We unaringishia kidem kina pua kama tundu za shotgun..ebo!!
 
Labda mwanangu wewe Msukuma Wa Masaki, Lkn mie Wa gamboshi Lazima ntafute kipusa cheupe na ng'ombe mpk 100 zinatoka kwa Mahali!

Cc Mentor
Kumbe mambo ya watu kuitana vipusa, yalianza zamani humu jf?!, mimi nilidhani ameanzisha Ali Kiba!.
P.
 
Sa mbona dem mwenyewe amekakamaa kama samaki aina ya kamongo??
 
Kidemu chenyewe mbona kibovu hivyo, nywele ka kapigwa bomu!!!
Aargh...Umenikera kichizi,
Mi nkajua mtoto level za ..officiallyn.. We unaringishia kidem kina pua kama tundu za shotgun..ebo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…