Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Hama lolo okozwala ng'anzo akafunije he?
Maana ebhokenyenge kwene sheleko mbina sha bha madebe do!
Olehooo
Hama lolo okozwala ng'anzo akafunije he?
Maana ebhokenyenge kwene sheleko mbina sha bha madebe do!
siyo ndama hata kuku hupewiWapi ng'ombe mia tatu...
Ila usukumani huyu unaweza ishia kupata ndama...
![]()
Ghale na miso makale..
Nale dodosa dodosa doh kitu ndani....Aaah Aaah
Okampyageja kalokomolo! Sio bure limbwata lilifanya kz!
tian
Umpige limbwata msikuma wakati huko ndo nyumbani...acha kuweweseka...ni malovedave wewe....
Na hilo limbwata nimewapiga familia nzima???
Maana mimi ni kipenzi cha wakwe na wifi zangu wooote....
Te te te...si wasukuma wote wanapenda kwa fashion....wako wanaojua nini wanataka
Ntuzu miss neddy na Mshinga..kipindi kile miss tz hapiness magese alivotwaa taji,alifanyaga ziara mikoani..sasa alivofika mwanza alitembelea maeneo mbalimbali...abhagosha abhasukuma angu bhalina tuja,walitegemea anakuja miss mweupe nginu gete ..sasa aho oshika u hepi..abha jinja she bha mwaloni bhayumela
''agaya,abha swahili bhalinatuja shi,bhatatangagije aliza miss,miss..duhaya aliza ng'wanike opee ngololoku shiza,aliyo bhadenhela miss ke..miss ke ng'wenuyu adeni dako''
kwa hiyo Mshinga weupe nele dako ni added advantage usukumani..lol
Huyo anauzuri gani sasa.....chokesti vbaya sanaMuache kusema ni wasukuma tu ndo tunapenda watoto kama hawa,hivi kuna watu wa jamii fulani hawapendi watoto kama hawa?haki ya nani siamini,ndo kila siku tunasingiziwa sisi tu.
Haya mtoto kama wa hivi kama yumo humu ndani mimi nitaarifiwe ili nimpigie simu mzee aandae ng'ombe za kutosha kabisa alafu nyinyi ambao hamuwapendi hawa basi mtuachie sisi wasukuma wanatufaa.
Kumbe mambo ya watu kuitana vipusa, yalianza zamani humu jf?!, mimi nilidhani ameanzisha Ali Kiba!.Labda mwanangu wewe Msukuma Wa Masaki, Lkn mie Wa gamboshi Lazima ntafute kipusa cheupe na ng'ombe mpk 100 zinatoka kwa Mahali!
Cc Mentor
Kidemu chenyewe mbona kibovu hivyo, nywele ka kapigwa bomu!!!
Aargh...Umenikera kichizi,
Mi nkajua mtoto level za ..officiallyn.. We unaringishia kidem kina pua kama tundu za shotgun..ebo!!

Naomba mnisaidie jamani hili swali kwanini akina NGOSHA a.k.a WASUKUMA wanapenda mabinti rangi nyeupe??
Katika kufuatilia bandiko hili, nimemkumbuka Dena Amsi, RIP Dena, you still live among us humu jf!.RAngi yao inawafurahisha sana
Duh alifariki!!!Katika kufuatilia bandiko hili, nimemkumbuka Dena Amsi, RIP Dena, you still live among us humu jf!.
P.
UCHOCHEZINaomba mnisaidie jamani hili swali kwanini akina NGOSHA a.k.a WASUKUMA wanapenda mabinti rangi nyeupe??