flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
Ndio ukweli huo...mwanamke mweupe usukuman huozeshwa kwa ng'ombe wengi sanaaaaaaaaaaa
Kitega uchumi.
Ndio ukweli huo...mwanamke mweupe usukuman huozeshwa kwa ng'ombe wengi sanaaaaaaaaaaa
Mbona nyinyi mnapenda wanawake wenye misambwanda..ni ushamba au utamaduni..mtuache na maisha yetu..
Kabisa mkuu hata mkiwa ndani gizani huna haja ya kuwasha taaa..mtoto anang'aa na kuonekana vzr.Mh!Vyeupe ni wizara muhimu na adhimu kwenu.
Hivi kuna binadamu mweupe?? hebu nitoeni ushamba... Maana Rangi nyeupe najua ni kama ile ya maziwa fresh na tangu nizaliwe sijawahi kuona binadamu mwenye rangi kama ya maziwa fresh (Mweupe/Nyeupe)..[HASHTAG]#MsinichekeLakiniMshambaMimi[/HASHTAG]
Bora nitoe ng'ombe kumi niiishie hapo hapo kuliko mikologo ya laki kila siku.
We jifanye mtoto tu.Avatar yako inakutotosha?
hamnaga binadamu mweupe mimi nijuavyoMshamba mwenyewUshamba tu
Tuache utani.Mshamba mwenyew
Unafikiri hatujijui haina ht haja ya kutuambia kila mtu ni mshamba kwa aina yake bt hili la uzi iz different.Tuache utani.
Ushamba asili yenu. I'm sorry

Kumbe Na wewe aupo TANZANIA. Ukusoma fasihi nini?.. Watu kwenye kufuatilia wanajua. Alichokisema bibie ule kuhusu mweupe..Sikutegemea kama nawe huwa unakurupuka!Mange kaingiaje hapa?
Astaghfirulah.unakufuru ndugu weusi unanyima raha kivipi?.Mimi ni mweusi na sijawahi kosa raha hata siku moja sababu ya weusi wangu na nimeishi maeneo maeneo mengi yenye ubaguziSasa mimi mweusi halafu nioe tena mweusi no logic nachagua rangi tofauti ili nipate kids angalau weupe kidogo Weusi japo ni mzuri bt una nyima raha kidogo.