Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Naona WASHAMBA na MALIMBUKENI wamejaa hapa-
Wazee wa Chattle
 
Hawa wajomba zangu wananishangaza sana inabidi leo nipatiwe majibu.Mwanamke mweupe huolewa kwa ng'ombe wengi tofauti na wengine.Wasukuma huwa tayari kutoa chochote ili kutimiza adhma ya kuwa na vyeupe.Pia msukuma yupo radhi kuhonga chcochote kwa mtoto cheupe hata kama ni cha jumuiya.Je ni kwa sababu ya ushamba,ulimbukeni,maagano au ni tamaduni zao?Majibu yasiyokuwa na povu ni muhimu bandugu.
 
tupe mfano mmoja !
 
Una uhakika au ni stori za UDAKU
 
Sisi ni matajiri Ng'ombe kwetu siyo issue .....!
 
nadhan zilikua zamani zile ! sema hivi wasukuma wana mahari kubwa sana jaman !yaan wanaropokwa tu kutaja idadi ya ng'ombe !arghh !wanangu nitasimamia mwenyewe zoez la mahari !wakiniambia ng'ombe 10 sitakiii !
 
Kwasababu wanajua watazaa watoto weupe ambao pia watawaozesha kwa garama kubwa zaidi Mara mbili yakile alichotumia yeye.

Kidogo unanishawishi.Ni kweli kabisa wakati mwingine wanawake weupe hutumika kama mitaji.Bibi yangu aliwahi kuniambia kuwa yeye aliolewa kwa ng'ombe wengi kuliko wasichana wengine kwenye ukoo wao kwa sababu alikuwa ni cheupe kama mwarabu.
 
Ndio ukweli huo...mwanamke mweupe usukuman huozeshwa kwa ng'ombe wengi sanaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom