Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

wana jf,
wengine sio misosi wala nini ni matokeo tuu ya uzazi. Na hilo pia tuliwaze na kulijadili.
Mfano mwanamke akijifungua kwa c-section (operation) na awe amepasuliwa ya kusimama sio cross,
huwa hafungi tumbo matokeo tumbo halirudi hali yake ya mwanzo. Kanakuwepo kama kakitambi.
Mtu wa aina hii mnamsaidiaje? Naamini nae hataki au hapendi kitambi kabisa.
mimi ni mmojawapo. Ushauri tafadhali.

mh,mi nadhani inategemea,mimi nna two kids na wote ni kwa c-section kama hiyo unayosema,lakini ckufunga wala nn na ukiniangalia huwezi amini kama nna mtoto hata mmoja achilia mbali operation.
Kuna wakat nilinenepa nikawa na kitambi,mr akawa ananisema nikaanza diet kikaisha kabisa.
 
Kimbweka hii thread nzuri sana maana inaleta chalenji kwetu wanawake. Unajua pia tulio wengi mi naona tukishaolewa huwa tunajiachia sana. Tukipata watoto ndo kabisa tunapata sababu. Tena kama mmeo ndo wala hakwambii basi hapo ndo shida. Inabid mkumbushane,ukimuona mwenzio naye kitambi kinaanza mtolee mimacho, walah atakimaliza within no tym.
 
dia maty dawa ni kuitune tu hypothalamus mambo yote ya kula yatajiset. Fanya maamuzi mama.

nitajitahidi mpenzi maana uroho huu wa bia na nyama za ofa mwe @ kimbweka
 
kitambi cha uzazi kinaisha bila kufunga cha muhimu nyonyesha mtoto vizuri two yrs na kitambi byebye tatizo watu hawanyonyeshi wanaogopa karibu nyonyo wanawapa watoto maziwa kopi , vitambi wanavilea na bia na nyama choma na tatizo la nyama choma mkiwa wengi kwenye meza wkt mwingine inabidi umeze bila kutafuna fresh ili wasikuzidi

superfisadi,
binafsi bia sinywi wala kugusa, mwanangu ananyonya vizuri tuu ila bado kakitambi kapo!!!
Brandon,
ulifanyafanyaje dear ukawa vizuri? Mi kama misosi sili sana, basi tuu sijui inakuwaje!
 
i think obesity is also linked to genetics...tutalaumiana bure wkt wengine hawakupenda/hawapendi hii hali ya unene iwatokee ila ndio hivyo hamna jinsi.
 
Kimbweka hii thread nzuri sana maana inaleta chalenji kwetu wanawake. Unajua pia tulio wengi mi naona tukishaolewa huwa tunajiachia sana. Tukipata watoto ndo kabisa tunapata sababu. Tena kama mmeo ndo wala hakwambii basi hapo ndo shida. Inabid mkumbushane,ukimuona mwenzio naye kitambi kinaanza mtolee mimacho, walah atakimaliza within no tym.

Ndo nikaona nikumbushe na wake za rafiki zangu
Thanks
 
superfisadi,
binafsi bia sinywi wala kugusa, mwanangu ananyonya vizuri tuu ila bado kakitambi kapo!!!
Brandon,
ulifanyafanyaje dear ukawa vizuri? Mi kama misosi sili sana, basi tuu sijui inakuwaje!

Unaweza ukawa unakula kidogo lakini kina mafuta kibao
Hasa hii mikuku ya kisasa kwanza inakuzwa na madawa
Manyama ya ngombe wa kisasa
Manyanya haya yanayotengenezwa yanauzwa super market
Balaa tupu:A S-alert1:
 
Pole na shughuli!Can't wait kuondoa hichi na mimi nipendeze Kimbweka afe na kuoza juu yangu!

haya bana ijumaa nakuja A-town Unga LTD
Ila vibaka vip maana ukiwa na kitambi hata kupambana huwezi
 
Haka kaudrinki ndio kanaleta balaa

IMG_5318.JPG
 
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?

Tunalijua hilo na linatukosesha raha sana, pia hata idadi ya ndevu imeongezeka nadhani umelisahau hilo.
 
Ijibu tu hiyo signature,wala hakuna tatizo si unaona hapo haina mwenyewe.
Oooh! YES, if possible mary me now sweetheart! I am in love with you Paka mweusi!:A S-rose::A S 8::A S-heart-2::A S-heart-2::A S kiss:
 
Back
Top Bottom