Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,692
- Thread starter
- #161
we nawe hebu acha uchokozi mi uko siko leo naangaika na kutafuta tiba ya kitambi changu kumbe hamvipendi, ladies ingawa hii topic inauma mbona hamjampa kibweka thanx pale juu ametusaidia kugundua kumbe vitambi hawavipendi ila basi tu maana wadada/wamama tulishaanza kuvihalalisha na kuviita (kitambi fashion) asante kimbweka kwa kutugutusha lol
Naona mlitaka kuwa wahindi
Hata kiuno hakijulikani kilipo teh teh:A S-alert1: