Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Mkuu Nguli huyu mtoe kwenye hiyo listi mbona anaonesha ni mtamu sana.


images
 
Kuna belt huwa wanafunga
Pia mazoezi ni muhimu, kunywa supu kwa kiasi
Kitambi hakikupati:A S-alert1:
asante Kimbweka, supu ya nini?? ng"ombe, mbuzi, kuku au michemsho?? ufafanuzi pls.
 
kwi kwi kwi kweli we nguli umeanza kuzeeka mwe!!!
:teeth::teeth:
Mkuu Nguli huyu mtoe kwenye hiyo listi mbona anaonesha ni mtamu sana.


images
Ha ha ha enzi zake alitesa sana huyu kaharibika angalia mgongo umegeuka tumbo mzee.


Wakuu naelekea Kinondoni Biafra kumzika dr Remmy Ongala........tukutane hapo majaliwa
 
Misahau kuna mazoezi ya kuongeza hips na ...ko pia, usije ukawa hivi

images


Kitambi kweli hakifai

images


images


sijui anamkasirikia nani huyu atakuwa kilimanjaro mdudu na mihogo imemwaathiri

images

Uuuwi!Nguli umeniongezea shida ya macho!!!!!!!!!huh!
 
asante Kimbweka, supu ya nini?? ng"ombe, mbuzi, kuku au michemsho?? ufafanuzi pls.

Supu ya nyama yeyote!
Ila waeza kunywa supu ya mchicha na mbogamboga kwa wingi
Pia matunda
 
The beauty of GOD is beyond description:lol: but some purposely destroy it by eating too much endi dirinking'i ofu kozi[/QUOTE

Noted with thx,will take extra care on this aisee:A S-alert1:
 
Let me go out of topic a little bit,why always there is pressure on women to shape their bodies and not on the other side?
 
ni kweli ivi vitambi vinabore basi tu na appetite nazo A sijui tufanyaje wengine hamna dawa ya kuondoa hamu ya kula kibweka
 
Back
Top Bottom