Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Naanza kuona wivu Paka

Naomba unielewe tu Madam T wala usione wivu, hapo nilikuwa katika kumtetea mama wa watu maana naona kama wamemuonea, haya twende PM basi ukavumbue mengine yatakayo kufanya umpende zaidi Paka Mweusi.
 
Naja mwaya
 
Haka kaudrinki ndio kanaleta balaa

IMG_5318.JPG

Sija vielewa hivyo vi udrinki ni vimapacha nini?
 
....But you must admit it.
There is something exotic about a bantu woman with that little xtra bit of a stomach.
Labda ni tatizo langu lakini I get easily turned off by a Woman with as flat a stomach as Mine! :lol:
 
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?

Tatizo ni menyu. wengi walio na vitambi hawapati chakula bora...( Chips Mayai Plus Kuku tena broiler) tena inakuwa on daily basis bila ya kufanya hata mazoezi kidogo, unategemea hiyo digestive system itafanyika bila ya kubasha chochote?
 
Be not afraid of growing fast, be afraid only of standing still
 
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
Bia na supu za bure...:whoo::whoo:
 
Back
Top Bottom