Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Ushauri mzuri ila natamani ungeondoa habari ya mvuto ungeweka ya afya zaidi.
Anyway ni mtazamo tu, si unajuwa wanawake siku hizi wanapata raha nyingine tu licha ya kuwa na mwanaume anayevutiwa nae? yani sio priority kama ilivyokuwa zamani.
Ila ni muhimu kuwa na afya nzuri ili uweze kufaidi mafanikio yako,
Watu wa kupetipeti wapo tu ni pesa tu.
Kwanza hata ukiwa na shepu nzuri nzuri mwanaume wa kupenda utampata? (maneno ya mkosaji) msemo wa siku hizi RAHA JIPE mwenyewe, ukisubiri......
ILA POINT TAKEN, NGOJA NIPUNGUZE CHANGU. ili nifaidi maisha, including hao wanaume wachache

seriously speaking, wanawake siku hizi wana agenda nyingine nyingi tu zaidi ya kuwa mvuto kwa wanaume

Sitajadili ulichokiandika. Nitajadili ulivyokiandika. Umeandika kwa flow nzuri ya maneno na mawazo. We ni mwandishi? Nice presentation. Ni hayo tu.
 
Maty mwanangu, kama kitambi kinakuzengua, kamata abood, ntakufuata Ubungo pale then ntakupeleka Rombo green view. Then ntakutibia. Usijali, mimba si kitambi.......

babu we unajua pale wanakufa mipango mizima tu huogopi shauri sako
 
wana jf,
wengine sio misosi wala nini ni matokeo tuu ya uzazi. Na hilo pia tuliwaze na kulijadili.
Mfano mwanamke akijifungua kwa c-section (operation) na awe amepasuliwa ya kusimama sio cross,
huwa hafungi tumbo matokeo tumbo halirudi hali yake ya mwanzo. Kanakuwepo kama kakitambi.
Mtu wa aina hii mnamsaidiaje? Naamini nae hataki au hapendi kitambi kabisa.
Mimi ni mmojawapo. Ushauri tafadhali.
 
fanya mazoezi, punguza chakula cha mafuta, ongeza matunda na mboga hasa mbichi,
sina maana ya kunywa juisi, no, kula matunda.
pendelea vyakula vya kuchemsha au kuchoma kama unapika.
kunywa maji ya kutosha, si chai wala soda,
pumzika usiku kwa kulala,
muhimu usibweteke, fanya shughuli, hakuna shughuli zinazochoma calories kama kasi za kawaida za mama nyumbani.
ni woga tu hakuna neno, unless kuna complication za tofauti.
usisubiri ufike 40's itakuwa shida!!!!
 
kitambi cha uzazi kinaisha bila kufunga cha muhimu nyonyesha mtoto vizuri two yrs na kitambi byebye tatizo watu hawanyonyeshi wanaogopa karibu nyonyo wanawapa watoto maziwa kopi , vitambi wanavilea na bia na nyama choma na tatizo la nyama choma mkiwa wengi kwenye meza wkt mwingine inabidi umeze bila kutafuna fresh ili wasikuzidi
 
ulafi huo mkuu teh tehe
 
Hahahaha!Inabidi waanze kuserve kila mtu na sahani yake ili watu wale kwa mapozz!
 
Wapi sasa...nipe maelezo zaidi!Au nikufuate tu...?

Litatoka soon maana tulikuwa busy na Mazishi ya Mwanamziki Mashuhuri
Nitakuhabarisha mpenzi:A S-alert1:
 
Litatoka soon maana tulikuwa busy na Mazishi ya Mwanamziki Mashuhuri
Nitakuhabarisha mpenzi:A S-alert1:
Pole na shughuli!Can't wait kuondoa hichi na mimi nipendeze Kimbweka afe na kuoza juu yangu!
 
[/size][/b]hapo umenena jamani tungepata dawa ya kuondoa hamu ya kula mbona mambo yangeenda vyema?

dia maty dawa ni kuitune tu hypothalamus mambo yote ya kula yatajiset. Fanya maamuzi mama.
 
Back
Top Bottom