Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
Hata mkiwa na uwezo mnabaniamkiona dume linanunua...tena wengine wanywaji asilia wa KILIMANJARO kubwa...ile kama fire extinguisher...mkiona dume mnajifanya kunywa kale kabia SAVANNAH tena mwataka ya uvuguvugu...inabidi ziagizwe mbili moto na baridi ili zichanganywe...bili yakeTZS 3,500X2/round
Yaani bosi wangu umenena, akiwa pekee ataagiza safari/serengeti, lakini ukimuagizia utasikia ooh Savannah au kijani, ili mradi mashaka matupu!
