MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,683
- 42,753
Hata kanisa katoliki Msimbazi center iko hivyo
hii ni hali ya kawaida sana hata huko mikoani na haifungamani na dini yeyote🔹 Hivyo kwa Mila za kiarabu katoto kadogo Cha Kiume kana haki na nafasi kuliko mtu mzima mwanamke
Mkuu unaifahamu Ramani ya Sinagogi au ramani ya Hekalu??Chukua mfano wa mjane mwenye senti chache.
Hapo ndiyo utajua kwenye sinagogi wanaume na wanawake waliabudu pamoja na walikuwa wanaonana.
hamna haja ya maelezo mengi. ni sheria tu za kibinadamu.
kabisa uko sawa ila sijaona utofauti wa uislamu na ukristo pengine ungeniambia ningejua..Uislamu umetoka kwenye Uyahudi na Ukristo lakini ni dini tofauti kabisa mkuu.
mwanamke Sio lazima kuswali msikitini ila mwanaume ni lazima kuswali msikitiniHalafu kwa nini wanaume ndio huswali sana na kujazana misikitini, ina maana wanawake allah hawahitaji wamswalie mtume? Wazee wanajazana misikitini kuswali swala zote utadhani hawana shughuli za kufanya, ni kuswali tu!
Mimi napenda zaidi wanawake wakivaa skirts, suruali au nguo za size zinazowakaa na kuwatoshea vizuri. Iwe kazini, kanisani, msibani, msikitini n.kHivi wewe kama ni mkristo, unapenda namna baadhi ya wanawake wa kikristo wanavyovaa wakienda ibadani?
lakini mkuu hta sheria za Kikristo ziko hivyo... so Kiufupu dini zote sheria zake ni za Ajabu na zinakandamizaWaarabu wali copy sheria za kimila za kiyahudi za zamani zilizoitwa ( MOSEIC DRACONIAN LAWS) Ambazo kwa nyakati hizo jamii duniani zilikuwa zinazifuata ila zilikuja kuonekana ni sheria kandamizi za kijinga
Kwa sheria hizo mwanamke anaonekana kama sio binaadamu wa kawaida Bali ni kifaa kazi na burudani tuu na walimuweka kwenye daraja la kifaa kazi kinacho zungumza ( Instrument um voccale) Akiwa kwenye kundi la vigaa kazi vingine kama ngombe ( instrumentum semi- voccale) na vile visivyoongea kabisa kama majembe , tractor nk ( instrumentum muutu)
🔹 Hivyo kwa Mila za kiarabu katoto kadogo Cha Kiume kana haki na nafasi kuliko mtu mzima mwanamke
🔹 Mwanamke wa kiarabu na miafrika inayojifanya na menyewe ni miarabu humgandamiza mwanamke huku ikimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa eti wanathaminiwa.
Sasa unaona, mtu anaweza kujikanda nguo na bado watu wakamtamani. Njia rahisi ni kutengana, ili ibada iwe na utulivu.Kama unajifunika kwa hijab, niqab au burka ina maanisha sio rahisi umbile la mwili wako wako kuonekana kwa hiyo hata matamanio ya wanaume yanapungua na inakuwa rahisi kujichanganya bila kuamsha hisia, japo ajabu pia ni kwamba kuna watu kama min -me anasema wanaovaa hivyo ndio huwa anawatamani zaidi!
Sijawahi kuona shida yoyote wanawake wanavyovyaa kanisani, I'm not a zealot.Sasa unaona, mtu anaweza kujikanda nguo na bado watu wakamtamani. Njia rahisi ni kutengana, ili ibada iwe na utulivu.
Kama wewe ni mkristo niambie, ni sawa baadhi ya wanawake wanavyovaa makanisani?
Kwamba zile skirt fupi wanazopambana kuvutavuta na yale magauni yaliyochanwa hadi upaja unaonekana kwako ni sawa ibadani?Sijawahi kuona shida yoyote wanawake wanavyovyaa kanisani, I'm not a zealot.
Kama Kuna chanjo ya Malaria hakuna haja ya kulala na neti labda kwa ajili kuondoa usumbufu wa kelele za mbu, pia ikipatikana dawa au chanjo ya ukimwi condoms zitakuwa hazina maana tena.Reasoning capacity yako ni ndogo sana haswa kwenye mambo ya kidini.
Mwanaume kinamvutia sura tu kwa Mwanamke ?
Hapa Jf watu wanatongoza avatar fake bila kujua sura au jina , wengine kisa jina zuri romantic nk anatongoza bila kumjua mtu .
Mwanamke ni fitna hata awe vipi ukimchanganisha na Mwanaume ni kosa anaweza kumshawishi hata avue burka na akavua .
Sawa useme Leo watu walale bila neti kisa dawa za Malaria zipo dukani.
Kwa mujibu wa dini, Majaribu huletwa na Mungu, Shetani, watu hadi vitu.Huo ni mtazamo batili . Majaribu yanayokujia na sio ya kutafuta makusudi
Kuepuka fitina ni bora kuliko kuifuata makusudi , sawa mtu uende kimboka au club kujipima Imani huo ni uchizi .
Hata wanajeshi kufa vitani ni sifa ya ushujaa lakini kamwe hawaitafuti vita kwa makusudi kisa kujipima ndio maana nchi nyingi zina majeshi na silaha ambazo hawajawahi kutumia kwa miaka mingi na wanajeshi wengine wengi wanaokufa na kustaafu bila kwenda vitani.
Hakuna tatizo mkuu, Naelewa shida ni kwa sababu hujazoea kuona upaja mkuu ndio maana unataharuki na kupata shida😁, ukikaa nchi/jamii watu wanaona upaja kila siku na kila mahali wala hutapata shida na kutaharuki.Kwamba zile skirt fupi wanazopambana kuvutavuta na yale magauni yaliyochanwa hadi upaja unaonekana kwako ni sawa ibadani?
Hoja zenu ziimejikita kwenye kuonaKwamba zile skirt fupi wanazopambana kuvutavuta na yale magauni yaliyochanwa hadi upaja unaonekana kwako ni sawa ibadani?
Nimeishi na hizo jamii mkuu, ngozi ya wazungu na sisi ni tofauti kabisa. Mwanamke wa kiafrika akiweka upaja nje lazima uangalie mara mbili, mzungu wala hana mshawasha😀Hakuna tatizo mkuu, Naelewa shida ni kwa sababu hujazoea kuona upaja mkuu ndio maana unataharuki na kupata shida😁, ukikaa nchi/jamii watu wanaona upaja kila siku na kila mahali wala hutapata shida na kutaharuki.
Na hapo ndipo mzizi ulipo mkuu, kuona na kupata mfadhaiko, kutoka kwenye dhana nzima ya kufanya ibada na Mungu wako.Hoja zenu ziimejikita kwenye kuona
Ni kama lile katazo haliwahusu vipofu
Au vipofu ni halali kushea ukumbi wa kuswalia na wanawake kwasababu hawawezi kuona hayo mapaja?
Uyahudi na Uislamu unafanana kwa kiasi kikubwa(japo sielewi kwa nini Waarabu na Wayahudi huwa wanatwangana muda wote), hata hivyo Ukristo uko mbali sana na Uyahudi pamoja na Uislamu japo zote ni Abrahamic religions.kabisa uko sawa ila sijaona utofauti wa uislamu na ukristo pengine ungeniambia ningejua..
mimi ninachokiona uyahudi na uislamu unafanana (na niliwahi kuandika nyuzi pia humu) kuliko uyahudi na ukristo
Hakuna sheria za Kikristu zilivyo hivyo. Hapo itakuwa umesoma vitabu vya historia vilivyojaa Mila ,tamaduni na sheria za kiyahudi za again la kale. Hapa ndio watu wengi Huwa wanakwama . Maelekezo sahihi soma agano la kale kwani Yesu alikuwa kutenganisha mambo ya kitamaduni yaliyokuwepo kwenye agano la kale na ndio maana wayahudi walimuua kwa sababu aliwakosoa kwenye masheria kama haya. Agano kipya ndio mpango.mzima hata kitimoto na bia lakini tunashushia saaafi maana alikosoa zile Mila za walawi za kutoka kula mdudu na lutakasa vyakula vyotelakini mkuu hta sheria za Kikristo ziko hivyo... so Kiufupu dini zote sheria zake ni za Ajabu na zinakandamiza
Black Americans, Wakenya, Wazambia, Waganda, Wazulu na jamii nyingine nyingi tu wanawake wanavaa nguo za kuonyesha upaja na wala hakuna tatizo. Tanzania tumeathiriwa zaidi na utamaduni wa mavazi ya kiarabu/kiswahili ndio maana tunababaika na kutaharuki na mini skirts, kaptula na suruali kwa wanawake.Nimeishi na hizo jamii mkuu, ngozi ya wazungu na sisi ni tofauti kabisa. Mwanamke wa kiafrika akiweka upaja nje lazima uangalie mara mbili, mzungu wala hana mshawasha😀
Uliona kilichowakuta kule wanapompiga mawe shetani kilichowakuta? Maana kule wote wanakua uchi na kujifunika mashuka meupe unakumbuka wanawake walipojichanganya na wanaume kilichowakuta? Km unakumbuka vizuri unakumbuka nini kilichowapata? Sasa hicho kilichowapata ndicho kinachowafanya watenganishwe na wanaumeNi kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?