Ivi nilichokisikia kua wanawake wakiislam wakienda kuswali hawavaagi nguo ya ndani ni kweli au ?
Mwanamke katika Uislam ni kijakazi na chombo cha starehe hana heshima yoyote
Ufunuo 14:4 na Mambo ya Walawi 15:19–30 ni mistari inayofanana.
Kuzaliwa kwa mtoto yeyote wa kike ni hasara: Mhubiri (Ecclesiasticus) 22:3 “...na kuzaliwa kwa binti YEYOTE ni hasara” (kutoka katika Biblia ya New Jerusalem —Hii ni Biblia ya Kanisa Katoliki la Roma).
Ikiwa mwanamke atajifungua mtoto wa kiume, basi huwa najisi kwa siku 7. Lakini ikiwa atajifungua mtoto wa kike, basi huwa najisi kwa siku 14. Kwa maneno mengine, kuzaliwa kwa mtoto wa kike kunasababisha uchafu mara mbili: Mambo ya Walawi 12:2–5
“Waambie wana wa Israeli, ukisema, Mwanamke akipata mimba na kuzaa mtoto wa KIUME, basi atakuwa najisi kwa muda wa SIKU SABA; kama siku za kutengwa kwake kwa sababu ya ugonjwa wake ndivyo atakavyokuwa najisi. Na siku ya nane govi la mtoto litatahiriwa. Naye ataendelea katika damu ya kutakaswa kwake siku THELATHINI NA TATU; hatagusa kitu kitakatifu, wala hataingia patakatifu, hata siku za kutakaswa kwake zitimie. Lakini akizaa mtoto wa KIKE, basi atakuwa najisi kwa muda wa WIKI MBILI, kama katika kutengwa kwake; naye ataendelea katika damu ya kutakaswa kwake siku SITINI NA SITA.”
Ni sawa kusema kwamba Mhubiri (Ecclesiasticus) 22:3 na Mambo ya Walawi 12:2–5 ni mistari inayofanana.
Ikiwa mwanamke atajaribu kumwokoa mume wake dhidi ya kupigwa kwa kumshika mwanaume mwingine sehemu zake za siri ili kumwondoa juu ya mume wake, basi mikono yake yote miwili lazima ikatwe: Kumbukumbu la Torati 25:11–12
“Ikitokea wanaume wanapigana pamoja, na mke wa mmoja wao akakaribia ili kumwokoa mume wake kutoka kwa anayempiga, naye akanyoosha mkono wake na kumshika sehemu zake za siri (kinena cha yule mwanaume mwingine), basi mikono yake yote miwili itakatwa; wala macho yako yasimhurumie.”
Baba wanaweza kuuza binti zao kuwa watumwa wa kike: Kutoka 21:7–8
“Ikitokea mtu akamuuza binti yake kuwa mtumwa wa kike, hatatoka kama watumwa wanaume watokavyo. Ikiwa hampendezi bwana wake kiasi kwamba hataki kumfanya kuwa suria bali anaruhusu akombolewe, hatakuwa na haki ya kumuuza kwa watu wa kigeni kwa kuwa amemtendea kwa hila.”
Binti hawarithi chochote ikiwa kuna wana wa kiume: “Mtu akifa na hana mwana, basi mtahamisha urithi wake kwa binti yake.” (Hesabu 27:8)