ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,741
- 42,173
Wewe unaijua familia yangu mpka uihusishe hapa kakaKumwambia mtu ukweli ndio hua mnatafsiri kua ni hasira huko kwenu?
Acha hizo bhana🙏
Wewe unaijua familia yangu mpka uihusishe hapa kakaKumwambia mtu ukweli ndio hua mnatafsiri kua ni hasira huko kwenu?
🤝🫡Wapi nimesema ni kosa?
Soma comment yako namba 90Wewe unaijua familia yangu mpka uihusishe hapa kaka
Acha hizo bhana🙏
🤝🫡
JF ina watu wengi mmoja wapo ni weweSoma comment yako namba 90
Issue za familia yako umezileta wewe mwenyewe hapa,
Jaribu kuepuka kukashifu imani za watu,hii ni JF utapokewa kama unavyokuja.
Bora tu walivyotengwa kweli mzigo kama huu unainama mbele kutakuwa na kusali kweli?Ni kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
Na wewe upo upande upi katika hao watu wengi?JF ina watu wengi mmoja wapo ni wewe
Enjoy life bro🤝
Mimi napenda kila mtu kaka niko pande zote AlhamdulillahNa wewe upo upande upi katika hao watu wengi?
Sasa mwanamke akiinama na yupo mbele yako shekhe unategemea utasali tenaNi kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
Asalaleee...Bora tu walivyotengwa kweli mzigo kama huu unainama mbele kutakuwa na kusali kweli?View attachment 3569600
Hapa Said Kipara atatulia kweli msikitini?Asalaleee...
Wivu tuuNi kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
Kama jamaa Chizi Maarifa yeye anaimani kuwa alizaliwa katika familia ya MaSheik na baba yake alikuwa Sheikh mkubwa .Tabia za hovyo na za kishenzi za familia yako,usifanye kua ndio ikawa kua ndio tabia za watu wote wa dini hiyo,usihukumu dini yote kwa tabia za familia yako,
Yani hicho kifamilia chako cha hovyo ndio kikufanye uhukumu watu wote wa dini hiyo Dunia nzima?
Ni kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
Una ushahidi gani kuwa Wanawake kabla ya Uislamu walivaa Kwa sababu hiyo ?Kama Kuna chanjo ya Malaria hakuna haja ya kulala na neti labda kwa ajili kuondoa usumbufu wa kelele za mbu, pia ikipatikana dawa au chanjo ya ukimwi condoms zitakuwa hazina maana tena.
Halafu sasa kama wanaume wanavutiwa na kutamani chochote kwa mwanamke ina maana gani kuvaa hijabu, niqab au burqa?? Labda mseme hayo mavazi sio kwa ajili ya kuondoa au kupunguza matamanio ya wanaume bali ni sheria ya Allah tu. Wanawake wa zamani kabla ya Uislamu walivaa hivyo kama ishara ya kutawaliwa na mwanaume pamoja utiifu/unyoofu kwa mungu/miungu au social status na sio kwa sababu za matamanio ya wanaume.
Mzee upo entitled na dini ya kiarabu kuliko hata wenye dini yao.Umeona ile mada wanawake wenu wanashambuliwa kwa kuvaa nusu uchi kanisani ukaja kujifariji huku sio?
Nenda kajibu hoja kule acha kubadili magoli au kutafuta pakutokea.