Kwanini wanawake na wanaume hawachanganyikani msikitini?

Kwanini wanawake na wanaume hawachanganyikani msikitini?

Kwani ni mambo gani hayo ambayo hayapo sawa? labda mimi ndio siyajui!

Kumbe wewe unalumbana? mimi wala silumbani bali nipo kwenye mjadala wa kawaida tu JF

Kwanini uwaze kua kuna sehemu nimekwazika?
Kumbe kujadili jambo na mtu hapa JF linasababishwa na mtu huyo ku amekwazika?
🙏🙏🙏 nime shindwa mimi
 
Acha ujinga kijana,haya maneno ulitakiwa umwambie mleta mada,
Au ndio wewe umekuja kwa ID nyingine?

Nani kakwambia kua Uislamu ni dini ya jamii fulani?
Au huko Kanisani hua mnaambiwa hivyo wakati mnauziwa udongo?
Acha kumwaga povu kisa dini ya mwarabu.
 
Mkuu wewe utakua ni mgeni kwa huyo mleta mada,
Halafu hata ukisoma comments zake humu utamjua tu,

Huyo ni maarufu kwa kukashifu imani za wengine,sio kwamba nimebahatisha bali anajulikana humu JF kwa tabia hiyo.
Lakini alipouliza alikuwa kama anataka kujua. Nafikiri umeona baadhi ya comment zimeelezea kwanini wanakaa tofauti lskini nyingine wameamua kukashigu. Ni bora umuelekeze kama ataamua kukashifu itakuwa juu yake.
 
Usinipangie jinsi ya kudeal na hawa wanaokashifu imani za wengine,

Au wewe ndio mleta mada umekuja kivingine?
 
Kama jamaa Chizi Maarifa yeye anaimani kuwa alizaliwa katika familia ya MaSheik na baba yake alikuwa Sheikh mkubwa .

Kupitia uzi wake mmoja kuhusu familia kuhusu familia yake na Baba yake utagundua wazi kuwa baba yake alikuwa mshirikina mkubwa kama mganga wa kienyeji na alikuwa mjinga wa kiwango kikubwa kuhusu Maarifa na elimu sahihi ya dini ya Kiislamu .

Jamaa baada ya kukua anakuja kulaumu Uislamu kumbe alilewa kwenye familia ya kushirikina

Wewe maamuma hujui kitu. Ungenyamaza tu.
 
Kuepusha kuombana namba za simu wakati wa ibada na kutongozana/kukonyezana ndani ya nyumbani za ibada.

Kuongeza faragha hata inapotokea mwanamke ameingia mwezini ghafla inakuwa rahisi kujisitiri kwa kujiamini na bila kubughudhi jinsia nyingine na kuhamisha mawazo ya wengine.

Kuia wanaume kugeuza vichwa kuangalia mineso ya makalio ya kina mama
 
Wanaweza kuwa chumba kimoja ila pande mbili tofauti.
 
Back
Top Bottom