Zamani ilifanyika hivyo na hata baadhi ya miskiti inafanyika hivyo...Kama hakuna Aya au hadithi ni wao tu wamejiongeza sasa kwa nini badala ya kuwa na vyumba tofauti isiwe ni chumba kimoja tu ila kila jinsia inakaa upande wake?
Ni kweli Kuna makanisa mengi tu wanawake wanakaa upande tofauti na wanaume, nilikuwa nategemea jambo kama hili pia misikiti badala ya wanawake kutengewa kwenye chumba tofauti kabisa.Mkuu swala hilo linaitwa Ikhtilat kwa lugha ya kiarabu..
sasa nini faida yake:
1. Kulinda Unyenyekevu (Khushui')
Unajua swala ya kiislamu inavyofanyika kuna kugusana baina ya vidole vya miguu na kuna kulinganisha mabega na zaidi kuna rukuu na sigda inayomtaka muumini kuinama na kuinuka na kuinamisha kichwa chini jambo ambalo kama utaswali na mwanamke pembeni linaweza kuondoa utulivu kwa kuamka matamanio na kukuondoa kwenye swala (unajua tena wenzetu wameumbwa na magnnetism)
2. Kuepuka Vishawishi (Fitna)
Uislamu unasisitiza kuzuia mazingira yanayoweza kuleta vishawishi kati ya jinsia mbili katika maeneo ya ibada. Kwa kutenga sehemu za kuswali, jamii inajenga mazingira ya heshima ambapo kila mmoja anaweza kuabudu kwa uhuru.
3. Sunnah
Wakati wa Mtume Muhammad (S.A.W), wanawake waliswali msikitini lakini walikuwa nyuma ya safu za wanaume. Mtume alisema kuwa safu bora kwa wanaume ni za mbele, na safu bora kwa wanawake (katika mazingira ya pamoja) ni za nyuma. Baadaye, kadiri idadi ya watu ilivyoongezeka, kuta au vyumba maalum viliwekwa kwa ajili ya urahisi na faragha zaidi.
SASA mkuu nakurudishia swali kuwa je kwenye biblia au tamaduni za zmani hakuna hiki kitu namaanisha kabla ya uislamu yaani hiki kitu ni kipya ???
hapana sio ktu kipya
Katika nyakati za Wana wa israel na hata baada ya hapo, Hekalu la Yerusalemu lilikuwa na sehemu maalum iitwayo "Ezrat Nashim (עֶזְרַת נָשִׁים)" Yaani Court of the Women.
Wanawake hawakuruhusiwa kuingia katika maeneo ya ndani yaliyotengwa kwa wanaume wa Kiisraeli au makuhani. Huu ulikuwa mgawanyo wa wazi wa kijinsia katika ibada.
Japo kwenye Katika Hekalu la Pili la Yerusalemu (Hekalu la Herode), hili lilikuwa eneo la nje ambapo Wayahudi wote (wanaume kwa wanawake) waliruhusiwa kuingia kwa ajili ya ibada za kawaida na kusikiliza mafundisho. ila wanawake hawakuruhusiwa kupita eneo hili kwenda ndani zaidi kuelekea madhabahuni (eneo lililoitwa Ezrat Yisrael ambalo lilikuwa maalum kwa wanaume tu).
Hadi leo, katika madhehebu ya kiorthodox ya Kiyahudi (ambayo yanafuata sheria za kale za Torati), wanaume na wanawake hukaa sehemu tofauti, mara nyingi zikitenganishwa na ukuta au pazia liitwalo Mechitza.
katika ukristo kwenye Mila za Kale Kwa karne nyingi, katika makanisa mengi ya kale (ikiwemo baadhi ya makanisa ya Orthodox na Katoliki ya Mashariki), wanaume walikaa upande mmoja wa kanisa na wanawake upande mwingine.
Ingawa Biblia haisemi waziwazi ila inasisitiza juu ya utaratibu na staha. Kwa mfano, katika 1 Wakorintho 14:34-35 na 1 Timotheo 2:11-12, kuna maelekezo yanayoweka mipaka ya ushiriki wa wanawake katika mazingira fulani ya ibada ya hadhara ili kudumisha utaratibu.
Ki ufupi Mgawanyo wa jinsia si jambo la kiislamu pekeeni utaratibu uliokuwepo katika dini zote za Ibrahimu (Uyahudi, Ukristo, na Uislamu) kwa lengo la kudumisha staha na heshima katika nyumba za ibada, ingawa Ukristo wa kisasa katika madhehebu mengi umeacha utaratibu huo.
Mkuu unajihangaisha tu kutoa haya majibu,Mkuu swala hilo linaitwa Ikhtilat kwa lugha ya kiarabu..

Wote ni wanawake wetu, sisi sote ni Waafrika kwanza na tunaunganishwa kama ndugu na Uafrica wetu kwanza, dini ni jambo la pili au la tatu huko kama ilivyo siasa, ushabiki wa mpira n.kUmeona ile mada wanawake wenu wanashambuliwa kwa kuvaa nusu uchi kanisani ukaja kujifariji huku sio?
Acha unafiki wewe,ile mada imekuchoma ndio maana ukakimbilia huku na kuanzisha haka kauzi uchwara kako.Wote ni wanawake wetu, sisi sote ni Waafrika kwanza na tunaunganishwa kama ndugu na Uafrica wetu kwanza, dini ni jambo la pili au la tatu huko kama ilivyo siasa, ushabiki wa mpira n.k
kheeee mwanaume unagubu wew kauliza swali tu imekuwa kosa ndio umchambe hivyo khoooooWewe inakuhusu nini?
Unataka uchanganyike na wanaume ili utongozwe?
Nani alikutuma umkorofishe mumeo mpaka akakutwanga talaka?
Jitulize huenda ukaposwa na kuolewa tena.
hata nyuma wanakaa , hujawai bahatisha swala yeyote ya sikukuu viungani mkuu?Ni kweli Kuna makanisa mengi tu wanawake wanakaa upande tofauti na wanaume, nilikuwa nategemea jambo kama hili pia misikiti badala ya wanawake kutengewa kwenye chumba tofauti kabisa.
Hata hivyo mfano wako wa hekalu sio sahihi kwa sababu Ukristo na Uyahudi ni dini tofauti kabisa.
Toa amri wachanganyikane!Ni kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
Hata kitiima avaagi boxer ili iwe wepesi kuphilllllwaIvi nilichokisikia kua wanawake wakiislam wakienda kuswali hawavaagi nguo ya ndani ni kweli au ?
Nenda kwenye huu uzi kisha soma comment 22# uone huyo mleta mada alivyomchamba mleta mada badala ya kudeal na hoja,na yeye acha tumuweke sawa kwanza.kheeee mwanaume unagubu wew kauliza swali tu imekuwa kosa ndio umchambe hivyo khooooo
Pole bibie!Unamaanisha sio lazima wanawake wa Kiislamu kwenda kuswali misikitini??
😂😂😂 mpambano uendelee refa nipo hapaNenda kwenye huu uzi kisha soma comment 22# uone huyo mleta mada alivyomchamba mleta mada badala ya kudeal na hoja,na yeye acha tumuweke sawa kwanza.
![]()
Hivi wadada wakristo mna matatizo yapi?
unavaa nguo inayokubana,sketi fup ,transparent alafu upo ibadan,unatuonyesha nn maana sio bure unakosa mume kwa sababu ya tabia yako chafu ebu waangalie wenzen waislamu,wanavyojiheshimu.hiyo n nadhir kuwa waislamu wapo kwenye maadil.ila wakristo...www.jamiiforums.com
Hivi kwa muktadha wa dini, kipimo cha imani si ndio majaribu?Ni utaratibu tu waliojiwekea Waislam wakiamini kuwa, kila jinsia wakikaa mahali pao wenyewe watapata fursa zaidi ya kuwasiliana na Mungu kwa unyenyekevu zaidi na kuepusha matamanio.
Fikiria upo kwenye Ibada halafu anapita mrembo mwenye figure la ukweli au anaketi karibu na ulipokaa, Unaweza jikuta muda mwingi unawazia Mrembo badala ibada iliyokupeleka.....
Hakika dini zina contradictions nyingi na kubwa sana, ila ndio hivyo binadamu nao wan cognitive dissonance ya hali ya juu sana.Hivi kwa muktadha wa dini, kipimo cha imani si ndio majaribu?
Hivi mtu huitwa mshindi kwasababu amemshinda mpinzani au kwasababu ameepushiwa mshindani?
Utasemaje una imani thabiti ikiwa ni muoga kuya-face majaribu?
Hii inaenda sambamba kwa moja kwa wale wanaomini funga zao zinaweza kuharibika ikiwa tu watu wengine watakuwa huru kula mbele yao.
Chukua mfano wa mjane mwenye senti chache.Mkuu swala hilo linaitwa Ikhtilat kwa lugha ya kiarabu..