Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,895
- 28,670
- Thread starter
- #81
Ni kweli dada, lakini na nyie mmekuwa vichwa ngumu sana siku hizi mnataka huduma, na bado hapo hapo kisa mnapewwa huduma mnaona kisa hamjachangia hamna cha kupoteza na kutupilia mbali, ila mngekuwa na nyie mnajitoa kama tunavyojitoa huenda akili zingewajiaUnachokitaka hakiwezekani mdogo wangu.
Kusaidiana kupo ila main provider utabaki kuwa wewe mwanaume.
Anayereceive 100% toka kwa ke ni kibenten na wewe u benten huutaki.