Inategemeana halafu saivi wanaume ni wachache wengi ni wavulana unataka mwanamke awekeze kwenye hamna kama tu we mwenyew utakuta unaabudia sana nyau na unaogopa kumpoteza ,huna maamuzi kma mwanaume,hujipendi,hujiheshimu wew na muda wako ,hujitangulizi ,huna mipango kwenye mahusiano huna mipaka huna vigezo as long as ana nyau we twende kazi,hujui kunyumbulika ,Huwezi kumwongoza,Huwezi kufanya ajisikie s*x ,Huwezi kufanya ajione spesho bila kuhonga ,kwenye kumtongoza ulitanguliza pesa ,kazi au wadhifa wako sasa hapo mwnamke awekeze Nini sasa kma sio michosho ndo hapo mtu apigwa vizinga mpka ukimbie mwanamke hawezi kuwekeza kwenye udongo usionarutuba msidhani hawa viumbe wajinga
[/QUOTE
Umezungumza kwa mkitadha wa kundelea kushawishiwa pasipo kujua tayari upo kwenye ndoa/ mahusiano .kiuhalisia
Maisha ya mapenzi ,kutongozana na kuishi kama mme na mke ni mambo matatu tofauti
Kama nilikupata kwa kukufungulia salooni unadhani nitaendelea kukufungulia saloon zingine wakati nishakupata au tunaishi mke na mme?