Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,073
Reaction score
27,318
Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake,

Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa.

Tufanye wake zetu watarajiwa watufanyie wao vitu sio sisi tu ndo tuwe providers, na ikiwezekana sisi tuwe receiving end.. Yaani mwanamke awe mwajibikaji na sio sisi, sio kulelewa kama vibenteni, namaanisha kuwa awekajiinvest katika kushiriki kama tunavyojitoa asilimia zote, ili awe na majuto ya kukuacha. (mwanamke hana cha kupoteza kwenye mahusiano ndo maana wengi wanaona fresh tu, kwasababu hakuchangia hata senti) na ndo maana akiamua kucheat fresh because she's never invested into you.

Hii mindset inatokana na the fact that wanaume tunaumizwa sana kuchitiwa na wanawake because we gave our all, tumechomeka na jua, tumejibana, umepambana then mtu ana amua tu kufanya anayo fanya, bila kujali because anaona anakumudu, umeweka kila kitu kwake, na unaogopa kumpoteza.

Sasa katika hii reverse relationship trick Hatu ruhusu mtoto wa mtu kuingia kwenye mahusiano kama hana cha kuleta on the table, unatafuta pisi sina no jielewa tu, sio kausha damu, sio watingisha makalio bar, sio wale wa tuma na ya kutolea, sio wa aibu utaona wewe.

Tumevuka hizo stage za kuwa watumwa wa mapenzi, tunataka mwanamke ambaye atawekeza uchumi, hisia na akili kwetu. Lazima awe mtu ambaye akifikiria ku cheat anaona future yake nzima imeharibika. Hautaki hawa vidampa, wanaokalia kupanga mbinu na vizinga vya kuwekeza kwao, wakati Anatakiwa ahakikishe watoto na familia wanahitaji huduma yake asilimia zote kama mumewe.

Mwanaume amka, acha kuwa mshamba kufikiri mwanamke ni kama bidhaa ya kuuliwa, acha kuwa mjinga na simp uwe unatoa tu wewe, mwishowe siku mambo aende kombo uone rangi halisi za huyo mpokeaji. Stop being an endless river not knowing there are dry seasons too.

Huyu jamaa kanibadilishia mtazamo kabisa we ain't handling our dime no more to a broke gold digger.



Bro to bro code.
 
Mimi siingii kwenye hilo kundi unalotaka tuingie
FB_IMG_17774032061861519.jpg
 
Akiamua kuchit atachit tu, hivi ni vitu ambavyo ishi ukijua.
We ishi maisha yako, moyo wako, furaha yako ndio kipaumbele akizingua piga chini, chukua ngoma nyingine..
Usiwekeze kupitiliza, na ukifanya fanya sio kwa mapenzi ni kama umesaidia yatima tu..

Huyo mchizi mwenyewe anasema yeye kakubali kuolewa, sasa suala la kuwa chini ya mwanamke yeye ana provide kila kitu huo nao ni USENGE..
 
Huyo mchizi mwenyewe anasema yeye kakubali kuolewa, sasa suala la kuwa chini ya mwanamke yeye ana provide kila kitu huo nao ni USENGE..
It's all about mindset, haja sema uwe under mwanamke, ila mwanamke ajitoe to the extent awe na contribution katika mahusiano.

Alicho kiongea jamaa no kitu kikubwa sana hasa kwenye psychology, mtu usipofanyia kazi kitu means hata maumivu ya kukipoteza hayatakuwepo kabisa.

Nimemwelewa vizuri sana
 
Fact,,( ndyo maana mwanaume anaweza kumsomesha mwanamke kwa lengo la kumuoa waishi pamoja mwanamke anaweza akafanya usariti don't cure .mwanaume
Unatuma nauli mtu aje ule mzigo mwanamke don't cure haji anaeumia ni mwanaume kwa kuwa ametoa pesa. mwanamke unamuoa na anakukuta tayar una biashara zako ,anakuja na shida zake unazitatua baadae anajifanyia mambo anavyojua kwa maana hakuna anachopoteza
Mm Huwa naamini kundi kubwa la wanawake wapo kwa masilahi Yao bnafsi hakuna Cha upendo kama hautawaza kwa kina utaamini Wana upendo
Na ndyo maana mwanamke akitoa pesa yake ( razima iwe story na atahakikisha umejua kuwa katoa. Mwanaume anaweza akatuma pesa kwa ndugu wa mwanamke na mwanaume asimwambie mwanamke wake .mwanamke atajua huko mbeeleeni katka vistori vya kwao
C wanawake wote lakini ndilo kundi kubwa
 
It's all about mindset, haja sema uwe under mwanamke, ila mwanamke ajitoe to the extent awe na contribution katika mahusiano.

Alicho kiongea jamaa no kitu kikubwa sana hasa kwenye psychology, mtu usipofanyia kazi kitu means hata maumivu ya kukipoteza hayatakuwepo kabisa.

Nimemwelewa vizuri sana
Kuna watu wameoa waajiriwa, wafanyabiashara ila walipochitiwa walipagawa..
Kama hujaiandaa hata iweje utapagawa.
Huyu aliesema ye haumii mwanamke kawekeza kwake, akiachwa kwenye mataa itamgusa,

Wanaume sio wanawake, ndio maana mkiachana, mwanamke akikuambia amekumis ulivyokuwa unamdinya, ukuni wako mtamu utasisimka, ila ww ukimwambia umemisi papa yake tamu unaweza ambulia matusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom