Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

Kuna watu wameoa waajiriwa, wafanyabiashara ila walipochitiwa walipagawa..
Kama hujaiandaa hata iweje utapagawa.
Huyu aliesema ye haumii mwanamke kawekeza kwake, akiachwa kwenye mataa itamgusa,

Wanaume sio wanawake, ndio maana mkiachana, mwanamke akikuambia amekumis ulivyokuwa unamdinya, ukuni wako mtamu utasisimka, ila ww ukimwambia umemisi papa yake tamu unaweza ambulia matusi
Cyo matusi tuu ,mpaka defender utaitiwa
Lakin mwanaume mpka pesa akiambiwa atatuma tena
 
Ndio 1 ya tofauti zetu.. kiume ni ngumu sana kuwa na manzi imekuzidi kipato, kuna namna utajisikia sio poa, labda manzi nae kuna vitu akiact kidogo unakuwa secured.. imagine mnatoka manzi analipia vinywaji vyenu, gari yake unakaa kushoto plus mambo mengine kibao.
Ni bora awe na mchuzi wake nawe una wako..

Japo hii sio costant kuna mademu wana mchuzi na nidhamu juu lakini ni wachache mnoooo kama hakuna vile
 
Ndo maana nikasema hii shift of mindset inasaidia sana, kinacho umiza mwanaume sio papa, kinacho Uma zaidi ni vitu ulivyo toa kuipata ile papa. So ukiacha kuhudumia with expectations au kumfanya muhusika awe accountable hauta lia kijinga tena.

Uta move on kirahisi zaidi
 
Cyo matusi tuu ,mpaka defender utaitiwa
Lakin mwanaume mpka pesa akiambiwa atatuma tena
Tumeprogramiwa kuwa watumwa wa papa na mwanamke amejua huo udhaifu ndo Maana wanaumia wengi
 
Ndio 1 ya tofauti zetu.. kiume ni ngumu sana kuwa na manzi imekuzidi kipato, kuna namna utajisikia sio poa, labda manzi nae kuna vitu akiact kidogo unakuwa secured.. imagine mnatoka manzi analipia vinywaji vyenu, gari yake unakaa kushoto plus mambo mengine kibao.
Ni bora awe na mchuzi wake nawe una wako..

Japo hii sio costant kuna mademu wana mchuzi na nidhamu juu lakini ni wachache mnoooo kama hakuna vile
Kwa wazungu mbona kawaida tu, tatizo ni mindset
 
Hii mindset inatokana na the fact that wanaume tunaumizwa sana kuchitiwa na wanawake because we gave our all, tumechomeka na jua, tumejibana, umepambana then mtu ana amua tu kufanya anayo fanya, bila kujali because anaona anakumudu, umeweka kila kitu kwake, na unaogopa kumpoteza.
Hii nimekubali inatukosti Sana, Mwanamke anakwambia kabisa we hata ukiniacha sijali ntapata wengine, just kwa kuwa umeshawekeza muda na mali zako yeye hajali
 
Hakikisha unamzalisha watoto wa kutosha,hakuna kijiti Wala kitasa!ili zikienda ziende na majukumu ya kutosha kabisa!unapomkabidhi uchumi mkabidhi na majukumu ya kulea ili uwe huru kufanya mengine
 
Tumevuka hizo stage za kuwa watumwa wa mapenzi, tunataka mwanamke ambaye atawekeza uchumi, hisia na akili kwetu. Lazima awe mtu ambaye akifikiria ku cheat anaona future yake nzima imeharibika. Hautaki hawa vidampa, wanaokalia kupanga mbinu na vizinga vya kuwekeza kwao, wakati Anatakiwa ahakikishe watoto na familia wanahitaji huduma yake asilimia zote kama mumewe.
Natafuta Ajira njoo huku umepata co mentor
 
Hakikisha unamzalisha watoto wa kutosha,hakuna kijiti Wala kitasa!ili zikienda ziende na majukumu ya kutosha kabisa!unapomkabidhi uchumi mkabidhi na majukumu ya kulea ili uwe huru kufanya mengine
Bado hii imeshakufanya Mwanaume kuwa Mtumwa wake mpaka inakulazimu kufanya maamuzi ambayo sio yako wala yankawaida
 
Sina uthibitisho na hili kama kwao kawaida tu, hata kama ninkawaida huenda watakuwa hawako sawa kichwani, sio lazima kila jambo wakifanya wao ndio wanakuwa sahihi tu
Kwa wazungu ni Yale Yale Tu, kila siku tunashuhudia Wanawake wanakimbilia Mahakamani kugombea Mali za wanaume
 
Sina uthibitisho na hili kama kwao kawaida tu, hata kama ninkawaida huenda watakuwa hawako sawa kichwani, sio lazima kila jambo wakifanya wao ndio wanakuwa sahihi tu
Ni sahihi maana wana prove sio kila hisia na mitazamo ni sahihi, hasa hili la mwanaume kuwa mtumwa wa mapenzi kwa mwanamke. Ilihali kuna muda yeye pia anaweza kuchoka na kumwonea wa kawaida tu na wakaenda kwa mwanamke mwingine
 
Bado hii imeshakufanya Mwanaume kuwa Mtumwa wake mpaka inakulazimu kufanya maamuzi ambayo sio yako wala yankawaida
Wana tu cost sana!hasa kuanza upya hata ulikua hutarajii kuanza maisha mapya!!

Nyumba Ina makelele hila fiction plus kupigana pin!unatema Bungo TU kiaina ili ulinde usipate magonjwa yasiyo ambukiza kama sukari na pressure mapema
 
Hii nimekubali inatukosti Sana, Mwanamke anakwambia kabisa we hata ukiniacha sijali ntapata wengine, just kwa kuwa umeshawekeza muda na mali zako yeye hajali
Hii ni psychology ndogo sana ambayo tulikuwa tunadhani wao ni udhaifu kumbe yawezekana kutokuwajibika kwao ndo wakawa wanatuonaga sisi wakuja tu. Inabidi kuhakikisha na yeye ana invest ipasavyo
 
Hakikisha unamzalisha watoto wa kutosha,hakuna kijiti Wala kitasa!ili zikienda ziende na majukumu ya kutosha kabisa!unapomkabidhi uchumi mkabidhi na majukumu ya kulea ili uwe huru kufanya mengine
Hahahaha kumzalisha wengi sio issue, ila wabongo bwana, kwamba wewe ni mimba tu hakuna kupumzika? 😅
 
WOMEN'S They pursue degrees and careers, not just to build their own future.

but to eventually enjoy financial security through the men they date or marry as if the relationship itself were the dream job.
 
Hii ni psychology ndogo sana ambayo tulikuwa tunadhani wao ni udhaifu kumbe yawezekana kutokuwajibika kwao ndo wakawa wanatuonaga sisi wakuja tu. Inabidi kuhakikisha na yeye ana invest ipasavyo
Siku zote nawambia Wanaume wenzangu wanawake are very powerful wamewez kutumanipulate, imagine mtu anaenda Kitambaa cheupe kununua ngono analipa wakati Mwanamke naye anahitaji Raha za ngono tena kutoka kwa Wanaume zaidi ya mmoja na wote wanalipa🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom