Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

Siku zote nawambia Wanaume wenzangu wanawake are very powerful wamewez kutumanipulate, imagine mtu anaenda Kitambaa cheupe kununua ngono analipa wakati Mwanamke naye anahitaji Raha za ngono tena kutoka kwa Wanaume zaidi ya mmoja na wote wanalipa🤣🤣
Infact feminine energy is the most powerful and creative energy. Ila wanaitumia kumanipulate wanaume, na kweli wanafanikiwa ila hawajui ni short term, kuna kuchuja na soko kuisha.

Ila ukipata mwanamke mwenye akili broo, umetoboa.. Huoni Dangote a navyo tumia binti zake kukuzaa kampuni zake?
 
WOMEN'S They pursue degrees and careers, not just to build their own future.

but to eventually enjoy financial security through the men they date or marry as if the relationship itself were the dream job.
Facts, wanatumia knowledge kuleta mind games ndani ya familia, huku wakitumia uzuri wao na ngono kummanioulate mwanaume. No mwanaume mshamba ambaye ataendelea kutumika nyakati hizi
 
Wewe si kitu

Hapana. Halafu Haya maswali ni ya kuulizana PM
Kwani kuwa single ni hali ya kuificha kiasi cha kutaka muulizane PM. What if a potential partner yupo hapa anakusoma?
 
kiaje mnataka mwanamke ainvest kwenu na mna mkakati gani wa kuwaambia wanawake wainvest kwenu? au ni wanawake gani mnaowatarget haswa? naomba kufahamishwa.
 
Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake,

Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa.

Tufanye wake zetu watarajiwa watufanyie wao vitu sio sisi tu ndo tuwe providers, na ikiwezekana sisi tuwe receiving end.. Yaani mwanamke awe mwajibikaji na sio sisi, sio kulelewa kama vibenteni, namaanisha kuwa awekajiinvest katika kushiriki kama tunavyojitoa asilimia zote, ili awe na majuto ya kukuacha. (mwanamke hana cha kupoteza kwenye mahusiano ndo maana wengi wanaona fresh tu, kwasababu hakuchangia hata senti) na ndo maana akiamua kucheat fresh because she's never invested into you.

Hii mindset inatokana na the fact that wanaume tunaumizwa sana kuchitiwa na wanawake because we gave our all, tumechomeka na jua, tumejibana, umepambana then mtu ana amua tu kufanya anayo fanya, bila kujali because anaona anakumudu, umeweka kila kitu kwake, na unaogopa kumpoteza.

Sasa katika hii reverse relationship trick Hatu ruhusu mtoto wa mtu kuingia kwenye mahusiano kama hana cha kuleta on the table, unatafuta pisi sina no jielewa tu, sio kausha damu, sio watingisha makalio bar, sio wale wa tuma na ya kutolea, sio wa aibu utaona wewe.

Tumevuka hizo stage za kuwa watumwa wa mapenzi, tunataka mwanamke ambaye atawekeza uchumi, hisia na akili kwetu. Lazima awe mtu ambaye akifikiria ku cheat anaona future yake nzima imeharibika. Hautaki hawa vidampa, wanaokalia kupanga mbinu na vizinga vya kuwekeza kwao, wakati Anatakiwa ahakikishe watoto na familia wanahitaji huduma yake asilimia zote kama mumewe.

Mwanaume amka, acha kuwa mshamba kufikiri mwanamke ni kama bidhaa ya kuuliwa, acha kuwa mjinga na simp uwe unatoa tu wewe, mwishowe siku mambo aende kombo uone rangi halisi za huyo mpokeaji. Stop being an endless river not knowing there are dry seasons too.

Huyu jamaa kanibadilishia mtazamo kabisa we ain't handling our dime no more to a broke gold digger.

View attachment 3676778

Bro to bro code.
Leave it or take it expensive we sheet, gademit...kiturist

Leave it or take it, expensive sheet gademit, kiturist
 
Mwamba anaongea kama ana ego flani hivi au ni min -me maana naye anapenda kutumiaa hilo nenošŸ˜‚

Ila jamaa yuko sahihi kabisa hakuna kukaa ninyonge this time around
 
Timiza wajibu wako mengine achia nature iamue....
Nature bongo? šŸ˜‚ Kwanza nature nyie wenyewe mnaikataa alaf mnataka sisi tuifwate? Simnasema nature ya mwanaume kuwa kiongozi ni batili basi na nyie mchukuwe jukumu la kuweka something on the table labda akili zitawajia
 
Unapata wapi wanawake ambao wanakukamua hivyo mpaka unataka pasu kwa pasu...itakua wamekukamua mpaka hutamani tena...
Pole....ila mwanaume ni provider in nature...just do it...
 
Mimi wala sina historia ya kukamuliwa maana sina tabia ya kutafta wanawake kausha damu. Sio kwamba simtamani tena bali niko so aware of games mpaka naona mwanamke anayetumia upenyo wa ndoa kama sehemu ya kujipatia kipato kama takataka
 
Not easy like that, uliza walionasa wakupe update, kama haujawa trapped shukuru Mungu, wapo wanaweza kuigiza hata 10 years halafu unapigwa tukio you can't imagine....acha...Ishi kituristi gademit,
 
Back
Top Bottom