Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,239
Reaction score
90,296
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda
MUST- Abeid Amani Karume
 
Sijui kwa hakika. Labda kwa sababu sio nafasi ya utendaji.
 
Sijui kwa hakika. Labda kwa sababu sio nafasi ya utendaji.
Kutokuwa nafasi ya utendaji inazuia vipi kuteua watu wengine wasio wanasiasa na ambao sio wastaafu wazee tu kama University of Cape Town, Nairobi, Havard, Cairo n.k?
 
Kutokuwa nafasi ya utendaji inazuia vipi kuteua watu wengine wasio wanasiasa na ambao sio wastaafu wazee tu kama University of Cape Town, Nairobi, Havard, Cairo n.k?
Wastaafu wanakua na experience na network kubwa kuliko mtu wa miaka 40.
Wangeifanya kuwa nafasi ya watu waliofanya makubwa kwenye jamii sio wanasiasa tu
 
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda
Mfumo rasmi kuangua chawa
 
Ni nafasi za kuwaweka busy wastaafu, lakini ni ili kulinda mfumo ccm.
 
Wewe unadhani kwa nini cdf baada ya kustaafu anapewa nafasi nyingine, igp baada ya kustaafu anapewa nafasi nyingine?

Kwangu the simplest answer ni "promise of a better life after retirement", ni kama kusema wewe tumika vizuri wakati wa utumishi maana ukistaafu kuna zawadi yako inakusubiri.
 
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda
MUST- Abeid Amani Karume
Dawa ni kuiondoa CCM
 
Back
Top Bottom