ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,749
- 42,227
📌ukiwa timamu ndo utaona upuuzi wa ndoa yenyewe. Yaani hakuna tofauti na dini..lazima uwe mpuuzi na kujitoa ufahamu ndo uamini.
📌ukiwa timamu ndo utaona upuuzi wa ndoa yenyewe. Yaani hakuna tofauti na dini..lazima uwe mpuuzi na kujitoa ufahamu ndo uamini.
Ukiwa huna hela lazima useme ni tamaa ya hela. Lakini hiyo sababu ni asilimia ndogo sana nakwambia99% ni tamaa ya hela
Sababu zinaweza kuwa nyingi, ila sababu kuu ya kwanza kabisa ni hela.Ukiwa huna hela lazima useme ni tamaa ya hela. Lakini hiyo sababu ni asilimia ndogo sana nakwambia
pagumu hapo, maana mi nikinusa harufu ya upendo hata kidogo kwangu, basi upendo kwangu kwenda kwingine unakuja natural.Ndoa ni utapeli. Ila basi tu tumeamua kujitoa ufahamu.
Ndoa ni nzuri tu katika malezi ya watoto endapo mtakutana watu wenye akili. Ila vingine vyote havitekelezeki kirahisi, ni mateso ya hali ya juu. Na ili ndoa idumu basi lazima wote au mmoja wenu awe boya. Hii kitu ni kama jela.
sio kufukuzwa ni kutengana kiroho safi, umeweka standard nikafit zangu umeshindwa vya nini sasa?.Kweli kelele sio jambo zuri kw austawi wa ndoa hata kidogo
Mwee kufukuzwa tena😳 mtu ambaye ana makelele bila sababu ni tatizo kunwa!
Mwanaume wa kweli! Una play part yako bila kumbugudhi mtu, halafu yeye mapepo yakimpanda anakutoa kwenye reli!sio kufukuzwa ni kutengana kiroho safi, umeweka standard nikafit zangu umeshindwa vya nini sasa?.
kelele ni mbaya hata kwa afya ya akili na utafutaji, ndio maana huwa napenda kuwa a man to her, na rafiki pia ili tuzungumze what's right and wrong.
Hapa nakuunga mkono Mzee ushahidi mzuri ni wa Irene uwoya na mumewe Ndikumana hapa juzi tu Irene uwoya kakiri kuwa chanzo cha ndoa yake kuwa na migorogoro ni utoto alionao japo mumewe alikuwa anampenda sana lakini alikuwa anamcheat binti kiziwi dada yangu wapo wanaume ambao ni innocent ni vile ujabahatika kuwapata Wanasumbuliwa na toxic women na inakuaga hivyo ukiwa mwanamke mwema unapata toxic man, ukiwa toxic woman unapata innocent mansio wanaume wote ni wabaya kwamba wake zao wamechukua tabia hizo, wanaume wanao gongewe wake zao ni watu wapole wanaowapenda wake zao tena hata kuchepuka hawachepuki, shida ya wanawake wanatamaa saba
wanawake mkienda hivyo ndugu mtazamaji utafikiwa
Kweli kelele sio jambo zuri kw austawi wa ndoa hata kidogo
Mwee kufukuzwa tena😳 mtu ambaye ana makelele bila sababu ni tatizo kunwa!
Kupuuzia mambo wee utajikuta futi 6, mtu akirudia Mara 3 sio coincidence hiyo.Mwanaume wa kweli! Una play part yako bila kumbugudhi mtu, halafu yeye mapepo yakioamda anakutoa kwenye reli!
Sema ukishamjua mtu wako haikusumbui sana, unampuuzia tu!
Kwakweli tunahitaji kuwa tunafahamiana kwa muda fulani kabla ya kuanza kuwekana ndani duh🙌🏾 Ukiwa na haraka zako ndio mambo kama hayaa🫴🏾Kupuuzia mambo wee utajikuta futi 6, mtu akirudia Mara 3 sio coincidence hiyo.
There's a certain thin amesha chagua apitemo, so una acha ukidhani vita change ohh kimeumana.
Hilo nalo nenoKwakweli tunahitaji kuwa tunafahamiana kwa muda fulani kabla ya kuanza kuwekana ndani duh🙌🏾 Ukiwa na haraka zako ndio mambo kama hayaa🫴🏾
Hahaha. Mnachekesha nyie. Na huyo naye wa nje anayekubebisha mwisho wa siku atapanda atamwaga atasepa. Au akiendelea kuwa nawe atakuwa nawe just for your body. Najiulizaga kwanini wanawake huwa wanadanganyika kirahisi hivi, sipati jibu.MTu anachepuka, anaku abuse emotional...anakupa hela anasepa..no intimacy , hisia zinakufa..ila ye ana enjoy huko nje..ukilazimisha anapanda anamwaga kamaliza analala....
Halafu unakutana na mtu nje anakubembeleza,yaani romantic...weee😁😁😁
Mjep au nasema uongo
Tatizo la wengi wa hao wakina Mwajuma na Raheli linalowafanya kubaki kwenye abusive marriages mara nyingi huwa siyo waume zao. Huwa ni kukosa ufahamu au elimu ya haki zao kuhusu namna wanawezaje kukimbia abusive marriages, kitu ambacho siyo kosa la waume zao. Hao waume zao wenyewe nao mara nyingi ni wahanga wa kukosa ufahamu wa namna ya kuishi vyema na wenza wao. As long as we keep pointing fingers at each other instead of confronting the real problem, which is a culture of abuse, this won't stop. But, no, this is not a men only problem.Ndoa zisingekuwepo mwaya 😩
I will leave lakini mwajuma, pili, na Raheli je? sio kila mtu ataweza kuondoka, na hata akiondoka huko aendako ndio bora?
Tangu wanaume mlipokataa kuwajibishana kwenye hili, it does not seem to help . Mambo ndio kwanza yanazidi kuwa mabaya.
I hope kuna siku mtaelewa kwanini kwenye baadhi ya mambo huwa nakomaa na mwanaume, simple katika sayansi ya kuhusiana… Mwanamke ni reciprocater, in most cases atakurudishia kile ulichompa.
It’s natural justice, you can not pour from an empty glass.
Sasa itakuaje🤔ukiwa timamu ndo utaona upuuzi wa ndoa yenyewe. Yaani hakuna tofauti na dini..lazima uwe mpuuzi na kujitoa ufahamu ndo uamini.
Ndo kama hivyo, chuma kinadai halafu mtu anataka uwe kama unamtongoza Kila ukitaka game wakati damu inachemka.Ila wewee, 😂😂😂
Inatokana mumezoesha vipiNdo kama hivyo, chuma kinadai halafu mtu anataka uwe kama unamtongoza Kila ukitaka game wakati damu inachemka.
Kabla ya kufika humo Kuna haja ya kujua ndoa ni nini na wajibu na haki zilizopo baina ya wanandoa.Tatizo la wengi wa hao wakina Mwajuma na Raheli linalowafanya kubaki kwenye abusive marriages mara nyingi huwa siyo waume zao. Huwa ni kukosa ufahamu au elimu ya haki zao kuhusu namna wanawezaje kukimbia abusive marriages, kitu ambacho siyo kosa la waume zao. Hao waume zao wenyewe nao mara nyingi ni wahanga wa kukosa ufahamu wa namna ya kuishi vyema na wenza wao. As long as we keep pointing fingers at each other instead of confronting the real problem, which is a culture of abuse, this won't stop. But, no, this is not a men only problem.
Muda ni mchache mambo mengiInatokana mumezoesha vipi
Kwan ukimtongoza kila siku kuna shida😆
😂😂😂😂😂😂 Hahahah ni mzozoSasa ukisepa mpaka kijana mwingine aeleweke ni leo? Hawa ndio wazuri sasa 😎
Kwahio Kila mwanaume ana kisukari au sio?Visukari kwa wanaume wao ndio tatizo