Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kuna mke wa mtu alikuwa kashaingia line kabisa,ila nimeamua kumuachia tu
 
Sawa mkuu we endelea tu na hiyo tabia yako, siku nikikukamata na mke wangu wala sikutongozi.
 
Maisha ya mahusiano yako complicated sana, me nashangaa ma Ex wangu wote ni watu ambao wako tayar kunipa mzigo muda wowote, wengine ni wake za watu wengine wako kwenye mahusiano yao

Sasa kwa mwendo huu kuna haja ya kuoa kweli?
 
Usikariri mambo mabaya tu, tabia za ma ex zako haimaanishi wanawake wote wapo hivyo.
 
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
Huko huko mnakowapeleka
 
Kwasababu asiye na ndoa kufanya ngono si kuchepuka bali ni "uzinzi" na siyo kosa kwa sheria za Tanzania , labda kwa watu wa dini ndio wanasema usitomb**** mpaka ndoa.
 
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
mi nimewahi kutana na malaya PICNIC chugga anajiuza kwa sababu ya marejesho ya mikopo na michezo aka vikoba ila akiwa hana madeni haendi kabisa kujiuza,issue ya kijirahisisha haina tofauti na kujiuza tu naona kuna sababu kibao na mojawapo ni iyo niliyohitaja.
 
Usikariri mambo mabaya tu, tabia za ma ex zako haimaanishi wanawake wote wapo hivyo.
Mbona kama hii umeichukulia personal, vp ulishawai kuwa Ex wa mtu? Vp Ex wako akiomba mchezo una uwezo wa kubana?
Funguka
 
Maisha ya mahusiano yako complicated sana, me nashangaa ma Ex wangu wote ni watu ambao wako tayar kunipa mzigo muda wowote, wengine ni wake za watu wengine wako kwenye mahusiano yao

Sasa kwa mwendo huu kuna haja ya kuoa kweli?
Hili jambo mwenyewe huwa linalinkosesha amani kabisa
 
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
Kuolewa haimaanishi anampenda sana huyo jamaa
Ni vile jamaa alitangaza ndoa
Ss mtu asitoke na ampendaye badae?
 
Mbona kama hii umeichukulia personal, vp ulishawai kuwa Ex wa mtu? Vp Ex wako akiomba mchezo una uwezo wa kubana?
Funguka
Wala hata sipo huko, nimekupa maoni yangu kulingana na ulichoandika. Kama una nia ya kuoa oa tu, yaliyopita yasikufanye usite kufanya maamuzi ya leo na kesho kwa kuhisi yanaweza kutokea hayo ya ex wako ya kutaka kupasha viporo. Unaweza ukapata mke mzuri mwenye kujiheshimu, si wanawake wote ni watu wabaya na hiki ndio nilichokimaanisha bahati mbaya ni kama umepokea tofauti.
 
Back
Top Bottom