Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Ukikariri hili mkuu unaweza ukapigwa na kitu kizito usiamini. Tabia ya uzinzi inasababishwa na mambo mengi mno, fuatilia tu kwenye jamii yako utakubali. Ni sawa kuoa binti bikira ila si sawa kujiaminisha kuwa ni suluhu ya kutokuchepuka, ukifanya hivi then una expect too much kutoka kwa mwanamke at your own risk.
Kila mtu anafanya uzinzi kutokana na sababu zake. Wengine ni fantasy tu ila wengine ni sababu ndoa imekosa vibe. Mke hajishughulishi na mumewe au mume hajishughulishi na mkewe. Kujishughulisha Nina maana ya kwamba kupeana mjengo inakuwa kipengele.

Kwa sexually active partner huwezi kuishi na nyege kisa matako mmoja anaona kukupa mali kwa masimango kama anakufaidisha sana, itakubidi utafte chimbo tu uwe unachuja nafaka.
 
Simple tu swali langu jepesi, "why ndoa za zamani haijalishi za kidini au kimila zilikuwa zinadumu kuliko za sasa".?

Manake nakuona unatizama lkn hauoni. Ndoa sio ajira useme unataka mzoefu.
ndoa za zamani ziliishi kwasababu ya maadili huwezi kulinganisha na sasa hivi,pia zamani mwanamke alimtegemea mwanaume kifedha na mahitaji asilimia 100 wakati sasa hivi mwanamke nae anapambia nafasi yake kujenga uchumi wa familia ambapo anajiona ana sauti kwenye familia inayopelekea pride yani majigambo unategemea hiyo ndoa itadumu
 
The riskiest survival strategy. Hapo ni kuishia kuzalishwa tena na kubwagwa - achilia mbali magonjwa, verbal & physical abuses etc. No wonder wanawake wengi wanaongoza kwa maambukizi. Solution ni simple tu: Leave the marriage.
Ndoa zisingekuwepo mwaya 😩

I will leave lakini mwajuma, pili, na Raheli je? sio kila mtu ataweza kuondoka, na hata akiondoka huko aendako ndio bora?

Tangu wanaume mlipokataa kuwajibishana kwenye hili, it does not seem to help . Mambo ndio kwanza yanazidi kuwa mabaya.

I hope kuna siku mtaelewa kwanini kwenye baadhi ya mambo huwa nakomaa na mwanaume, simple katika sayansi ya kuhusiana… Mwanamke ni reciprocater, in most cases atakurudishia kile ulichompa.

It’s natural justice, you can not pour from an empty glass.
 
Hii kawaida as long hujamkuta bikra basi anaprobability kubwa ya kuchepuka.
Hizi notion huwa mnazitoa wapi Joseph? Huwa mnalijadili hili kwa eksipiriensi gani?

Au tu ni njia rahisi ya kujustify kwanini ndoa zinasumbua… that’s purely simplification.

Siku moja nikakuta sub thread moja kwenye social platform fulani, mleta post ameuliza “kwa tulioolewa bikra, niambie kwanini unajutia kuolewa, na kwanini you started cheating “ moderator nadhani ni mkenya.

Kulikuwa na comments walau elfu 5, kazi yangu ya umbea nilikuwa nasoma na ku view profile za watu 😅

Nikafanya content &thematic analysis kupitia comments, opinions na patterns… conclusion ikaja hivi: Wanawake wanacheat back sababu ya kuvurugwa na wanaume, common patterns inasema walioolewa wadogo miaka 17/16-20 wakifika miaka 23 wanakuwa wameshaanza kuchepuka… Walioolewa wakubwa 25/30’s wana tendency ya kuishi kwenye ndoa kama wameachika ikiwemo kuchannel muda&energy zao kwenye kazi/biashara na kuchepuka.

However, ukisoma comments za wanaume utagundua walioa bikra wako okay “kuanzisha” mwanamke akianza kuchepuka he will care less, ni kama ule msemo wa nimeanzisha hao wengine watajua wenyewe, purely it’s good for the men’s ego.
 
Yaani hiyo niliikuta sehemu pia mpaka wanaume walianzisha uzi wao kwanini hawapendi wanawake wenye hizo bikra, aisee coments zinafikirisha🤦🏽‍♀️
1A96212D-03A9-4006-8411-85D20878257E.jpeg
🤔
 
Hata wao wanajua wanajizima data tu😂 kuna vitu unavikosa ndani unakutana navyo nje
MTu anachepuka, anaku abuse emotional...anakupa hela anasepa..no intimacy , hisia zinakufa..ila ye ana enjoy huko nje..ukilazimisha anapanda anamwaga kamaliza analala....

Halafu unakutana na mtu nje anakubembeleza,yaani romantic...weee😁😁😁
Mjep au nasema uongo
 
Back
Top Bottom