ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,749
- 42,227
Basi fanya kupachika 😆Muda ni mchache mambo mengi
Basi fanya kupachika 😆Muda ni mchache mambo mengi
Huu ndio uwajibikaji tunaouzungumzia, we huwezi zunguka huku na huko humo kutongoza watu aseme watamkatalia, wamemkubalia kaanza kelele 🤣Kusema ukweli wa Mungu, mimi wake za watu nawaogopa, na sitakuja kufanya mazoea nao hata siku moja. Wanaume kuna namna tunaheshimiana na kuhurumiana hasa kwenye ishu nzima ya utafutaji; lakini linapokuja swala la kumkula mke wake aaah kula panga au kufanyiwa ukatili wowote ni kawaida.
Hivyo enyi wanaume jambo hili liepukeni kwa gharama kubwa. Na asiwepo wa kujisifia kula wake za watu yatakuja yamkute kisha ataleta ushuhuda hapa kama atafanikiwa kuponyoka.
Mara moja niliwahi kumla mke wa mtu bila kujua, na nilipo jua tu pale pale nilikaka mazoea yote.
Ndo kama ilivyo hakuna namna😀Sasa itakuaje🤔
Hii ni mbaya sana🥲Ndo kama ilivyo hakuna namna😀
chuma kikichemka ni balaa unaweza jifanya kusahau, dude linafura ka lime umwa na nyuki.Ndo kama hivyo, chuma kinadai halafu mtu anataka uwe kama unamtongoza Kila ukitaka game wakati damu inachemka.
chuma kikichemka ni balaa unaweza jifanya kusahau, dude linafura ka lime umwa na nyuki.
Raha ya chakula ule kwa wakti, mtu ana kaza na wengine wanauziwa.
Ndio sababu naogopa kuoa maana sitaki nichapiwe kama ninavyo wachapiaNauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?
Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka
With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua
Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida
Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
Kishaonjeshwa utamu wa asali, kulala bila asali ni ngumu:Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?
Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka
With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua
Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida
Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
umesema ukweki kabisa mkuu 😅Hapa nakuunga mkono Mzee ushahidi mzuri ni wa Irene uwoya na mumewe Ndikumana hapa juzi tu Irene uwoya kakiri kuwa chanzo cha ndoa yake kuwa na migorogoro ni utoto alionao japo mumewe alikuwa anampenda sana lakini alikuwa anamcheat binti kiziwi dada yangu wapo wanaume ambao ni innocent ni vile ujabahatika kuwapata Wanasumbuliwa na toxic women na inakuaga hivyo ukiwa mwanamke mwema unapata toxic man, ukiwa toxic woman unapata innocent man
😂😂 ni ukweli sema watu hawataki kuambiwa ukweliWakati huo huyo mwanaume anakuwa sio mune wa mtu? Maana km point ni bikra ht wanaume wanakua washalala na watu kibao b4
So hapa no excuse
For this case mnakuwa mmekutana wote mje na mume wa mtu...
Kumwambia tu mtu kosa lake tayari umemwajibisha,nikisema uwajibikaji simaanishi kwamba apigwe, afungiwe ndani kama ambavyo unaweza ukawa umefikiri.Umwajibishe kwa njia gani? Bora tu uache kuoa. Hakuna njia ya kumwajibisha mwanamke aliyeamua kuchepuka.
Uzuri huwa tunaelewana…….! Hata kama sometimes unajaribu ku-escape the root cause.Tatizo la wengi wa hao wakina Mwajuma na Raheli linalowafanya kubaki kwenye abusive marriages mara nyingi huwa siyo waume zao. Huwa ni kukosa ufahamu au elimu ya haki zao kuhusu namna wanawezaje kukimbia abusive marriages, kitu ambacho siyo kosa la waume zao. Hao waume zao wenyewe nao mara nyingi ni wahanga wa kukosa ufahamu wa namna ya kuishi vyema na wenza wao. As long as we keep pointing fingers at each other instead of confronting the real problem, which is a culture of abuse, this won't stop. But, no, this is not a men only problem.
If you can't tolerate infidelity then vunja mahusiano uwe huru kuianzisha mahusiano mengine. Lakini kusema na wewe uchepuke utakua umefanya kosa pia. Two wrongs don't make it correct.Kwa sababu mwanamke hawezi exist pasipo mwanaume...
Hapa yanatajwa mahusiano wanayofanya wake za watu sio wanawake wote...
Hatuchekeshi ndo hali halisiHahaha. Mnachekesha nyie. Na huyo naye wa nje anayekubebisha mwisho wa siku atapanda atamwaga atasepa. Au akiendelea kuwa nawe atakuwa nawe just for your body. Najiulizaga kwanini wanawake huwa wanadanganyika kirahisi hivi, sipati jibu.
🤣🤣🤣🙌Nchi gani?
Haya mambo ya kuchepuka , yanasababisha hata kuaminiana ina kua ngumu sana🥲Hatuchekeshi ndo hali halisi
Ht mwqnaume mwenye mchepuko same thing...
Btw, mi sipo humo🤣🙌hii ni according to wahusikq
Shauri yao walao wake za watu😀Huu ndio uwajibikaji tunaouzungumzia, we huwezi zunguka huku na huko humo kutongoza watu aseme watamkatalia, wamemkubalia kaanza kelele 🤣