Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Umalaya ndo sababu hakuna cha victim.
Asiye malaya anavunja mahusiano ndo aendelee na mahusiano mapya kinyume na hapo ni uhalalishaji tu wa kufanya umalaya.
Mwaya, watu 8 ameeleza kuwa wao ni victim… maana yake ni kwamba kama ni umalaya wa kwanza kuunza ni mwanaume, to be fair kwanini mwanaume asivunje kwanza ndoa ndio aendelee kudeal na multiple partners outside wedding lock?

Kitu hatutaki kukijadili ni kwamba wanawake wame-mirror tabia za wanaume zao na wameamua waishi kama wao.

Na pia jamii haijadili kabisa suala la watu kuoa lakini hawana mpango wa kuwa “waume “ mtu anaoa halafu anataka aishi kama bachela…. Kwa hizi mentality ndoa zitasumbua sana huu ni mwanzo tu.
 
Kwa sababu wanaume waliowaoa wanazingua...

Mwanamke akishamfuta mwanaume moyoni mwake, haoni shida kuanzisha mahusiano mapya hata kama kaolewa...

Hivyo hao unaokutana nao ni victims wa wanachopitia kwenye ndoa zao...
Kwanini hatuwezi kumwajibisha mwanamke binafsi kwa matendo yake bila kurusha lawama kwa mwanaume.

Vipi wanaume wanaochepuka tatizo ni wake zao au kwa wanaume kuchepuka ni tamaa? yaani mwanaume akichepuka kosa ni la mwanaume, mwanamke akichepuka kosa ni la mwanaume.

Lets make women accountable for their bad decisions.
 
Bikra ndio suluhisho katika mia basi watakao kengeuka hawazidi watano, ila ukichukua ambao hawana bikra watakao kengeuka ni zaidi ya asilimi sabini? Hivi huoni kesi za kuchepuka kwa wanawak zimekuwa nyingi na wengine wanaujasiri wa hali ya juu siku hizi.
Ukikariri hili mkuu unaweza ukapigwa na kitu kizito usiamini. Tabia ya uzinzi inasababishwa na mambo mengi mno, fuatilia tu kwenye jamii yako utakubali. Ni sawa kuoa binti bikira ila si sawa kujiaminisha kuwa ni suluhu ya kutokuchepuka, ukifanya hivi then una expect too much kutoka kwa mwanamke at your own risk.
 
Mkuu demu yoyote yule uliye date nae ujanani hata kama ulimucha kwa nyondo namna gani akija kuolewa zikapita miaka hata kumi siku mkionana panapo nafasi unapewa bila kuomba upya labda ikukute umeshaokoka tu.

Huwa wanasema yaani nilikupenda sana lkn ukanifanyia mbaya sana ila basi tu nishakusamehe muda pyupi imefika kwenye magoti..........Kwishaaaa
unawaza wa kina mkuu,sio poa ila ndiyo ukweli,
 
Ukikariri hili mkuu utapigwa na kitu kizito hutoamini. Tabia ya uzinzi inasababishwa na mambo mengi mno, fuatilia tu kwenye jamii yako utakubali. Ni sawa kuoa binti bikira ila si sawa kujiaminisha kuwa ni suluhu ya kutokuchepuka, ukifanya hivi then una expect too much kutoka kwa mwanamke at your own risk.
Nisikalili nini? Mbona hii inaonekana huitaji degree, kuna msemo unasema "unajenga tabia mwisho tabia nayo inakujenga".

Watu wanao bikra kupunguza probability ya kugongewa, siku hizi ndoa hazidumu ,migogoro kibao,maex wanaongoza sana kuvunja ndoa za watu yaani stability ya sasa kwenye ndoa na kipindi cha nyuma ipo wazi hitaji kuwa genius kuona utofauti wake.
 
Sababu zipo nyingi :

- Kutomtimizia mahitaji yake ya muhimu

- Kutokumridhisha kihisia na hasa kitandani

- Kumnyanyasa then akapata Mtu wa kumcomfort

- Wewe kuchepuka na akagundua pia anaweza kufanya revenge na yeye akachepuka 🤣
 
Mwaya, watu 8 ameeleza kuwa wao ni victim… maana yake ni kwamba kama ni umalaya wa kwanza kuunza ni mwanaume, to be fair kwanini mwanaume asivunje kwanza ndoa ndio kudeal na multiple partners outside wedding lock?

Kitu hatutaki kukijadili ni kwamba wanawake wame-mirror tabia za wanaume zao na wameamua waishi kama wao.

Na pia jamii haijadili kabisa suala la watu kuoa lakini hawana mpango wa kuwa “waume “ mtu anaoa halafu anataka aishi kama bachela…. Kwa hizi mentality ndoa zitasumbua sana huu ni mwanzo tu.
Mkuu, uhalisia ni kwamba mwanamke malaya Vs mwanaume malaya thamani zao hazifanani katika jamii. Sio mimi nasema, ni uhalisia tu wa jamii yetu ilivyo.

Jamii ya wanawake itamkubali mwanaume malaya aliyeamua kubadilika na itampokea kwa mikono miwili pengine na kusahau ila kwa mwanamke hata akibadilika jamii ya wanaume haisahau hata kama akikubalika.

Thus, mwanamke kumirror tabia ya mume malaya ina matokeo mabaya kwake kuliko kwa mwanaume japo wote watakuwa malaya.
 
Sababu zipo nyingi :

- Kutomtimizia mahitaji yake ya muhimu

- Kutokumridhisha kihisia na hasa kitandani

- Kumnyanyasa then akapata Mtu wa kumcomfort

- Wewe kuchepuka na akagundua pia anaweza kufanya revenge na yeye akachepuka 🤣
Hayo yote sio kigezo cha yeye kutoka nje.
Kama unaamini hayo, bc mkeo anagongwa nje sana tuu.

Mke sahihi hana sababu yoyote ile ya kutoka nje ya ndoa.
 
Cases ziko tofauti.

Kuna wanaochepuka sababu ya tatizo la kiuchumi lililotokea kwenye familia ambalo halikuwepo, kama anaona anashindwa kuhimili na nje anaweza kupata….. then….

Hapo hapo kwenye uchumi, kuna mwingine ameolewa na mwanzo alikuwa yuko okay na hali ya uchumi wa familia, gafla katika pita pita akajiona anaweza kupata huko nje akaleta ndani. Hii ndio TAMAA ya kumiliki mali. Hili kundi ni ngumu kulitetea 😅

Nyingine ni abuse, hasa emotional neglect & abandonment. Since “mmekubaliana” upendo/mapenzi sio sababu ya pekee ya kumuoa mtu, wanaume wengi wanaoa kwaajili ya mambo wanayoyajua wao nje na kupenda… Shida inakuja mkishawaoa mnawa-waacha hapo nyie wanaume mna endelea na maisha yenu (kwa wanawake mnaowapenda ila hamkutaka kuwaoa) Dhana ya upendo/urafiki inakosekana na hawa wamama kama walivyo binadamu wote lazima atafute wa kufurahi nae….. Na huu ndio uchepukaji mgumu sana kuuacha mwanamke akishauanza. Hili kundi naweza kuwatetea 😩

Kwa upande wangu sababu kubwa naona ni hizo.
Unadhani yoyote kati ya hizo sababu zako ina-justify mtu kuchepuka?
 
Mwaya, watu 8 ameeleza kuwa wao ni victim… maana yake ni kwamba kama ni umalaya wa kwanza kuunza ni mwanaume, to be fair kwanini mwanaume asivunje kwanza ndoa ndio kudeal na multiple partners outside wedding lock?

Kitu hatutaki kukijadili ni kwamba wanawake wame-mirror tabia za wanaume zao na wameamua waishi kama wao.

Na pia jamii haijadili kabisa suala la watu kuoa lakini hawana mpango wa kuwa “waume “ mtu anaoa halafu anataka aishi kama bachela…. Kwa hizi mentality ndoa zitasumbua sana huu ni mwanzo tu.

sio wanaume wote ni wabaya kwamba wake zao wamechukua tabia hizo, wanaume wanao gongewe wake zao ni watu wapole wanaowapenda wake zao tena hata kuchepuka hawachepuki, shida ya wanawake wanatamaa saba
Mwaya, watu 8 ameeleza kuwa wao ni victim… maana yake ni kwamba kama ni umalaya wa kwanza kuunza ni mwanaume, to be fair kwanini mwanaume asivunje kwanza ndoa ndio aendelee kudeal na multiple partners outside wedding lock?

Kitu hatutaki kukijadili ni kwamba wanawake wame-mirror tabia za wanaume zao na wameamua waishi kama wao.

Na pia jamii haijadili kabisa suala la watu kuoa lakini hawana mpango wa kuwa “waume “ mtu anaoa halafu anataka aishi kama bachela…. Kwa hizi mentality ndoa zitasumbua sana huu ni mwanzo tu.
wanawake mkienda hivyo ndugu mtazamaji utafikiwa
 
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
Dah! Na unakojolea mumo kwa mumo?
 
N sababu gani ww itakayokufanya uchepuke?
Haha! I am a leaver, i will always leave . Ndio
maana tukisema hatutaki kuolewa mtuelewe sababu individually kila mtu anapenda kuwa addressed namna fulani, binafsi ningependa kuwa addressed kama mtu ambaye hakuwahi kuolewa kuliko aliolewa akaachika.

Again, mada sio kuhusu mimi 😅
 
Kuna wengine wala hawakuwa malaya, wanaanza umalaya ndani ya ndoa na unaweza kukuta sababu ni sisi Wanaume 🤣
Hakuna sababu ya kuhalalisha umalaya wa mwanamke. Kama mwanaume ana shida basi mahusiano yavunjwe na mwanamke akaanzishe mahusiano mengine. Kama mwanamke ni malaya ahukumiwe yeye mwenyewe binafsi kwa matendo yake, bila kurusha lawama kwa mwanaume
 
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
ukila cha watu na chako kitaliwa, chukua hatua usikae kibwege
 
Back
Top Bottom