ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,599
- 119,741
Umemjibu vema sana, ila ninewaza tu, je kuna sababu yoyote inamfanya mtu kuchepuka, iwe me au ke?Hapana,
Lakini ndio yanayoendelea, am i supposed to be denialist or realistic? Hebu tuwaze pamoja. Mleta mada kauliza sababu ya wake za watu kucheat na mi nimemjibu.
Jibu ni hapana kama ulivyosema, ila binadamu kama kawaida yetu, kutupla lawama kwa mwingine, Adam alianzisha huu utaratibu wa kutoa lawama kwa mwingine, nasi tunaiga tu.
The best option is to quit, mbona wazungu wengi wanaweza, sisi tunashindwa nini? If I'm no longer in love with Atoto 😅 natakiwa nimwambie ili taratibu za kuachana zianze. Njoo bongo sasa, utapangwa na wenzako muwe kumi...😆