Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa.
Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
Kila mwanaume anapaswa kulinda tunu na ubingwa wa uwanaume wake aliyopewa na mungu kitendo chakutaka na kupenda wake za watu ni kuweka rehani tunzo na zawadi hiyo.
Sasaivi mtu akijua tu unatoka na mkewe nae anaanza maandalizi yakukupokonya ubingwa (tofauti na wanawake wakifumaniwa na waume za...
Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa...
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.
Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.
Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.
Hakuna kitu cha aibu kama...
Nimeamua kubadilika rasmi sitaki tena wake za watu ingawa ni watamu sababu kuu sitaki kua chanzo cha familia kuvunjika ni dhambi sana hasa nikiangalia watoto wanaenda kuishi tofauti na wazazi wao nimeshaivunja moja nyingine inahati hati ya kuvunjika
Mwezi uliopita nilienda duka la madawa kuingia mle nikakuta kuna mdada fulani simple sn mcheshi, nikamuelewa sana nikaomba namba nikapewa.
Tumechat sn siku hiyo kumbe pia ni mwenyeji wa mkoa ninaotokea, bwana zilipita kama siku 2 akanitumia ujumbe oooh mi ni mwana kwaya kanisani jpil tunazndua...
Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k.
Na hiki ndicho kilichonibadilisha taswira yangu ya kuona wanawake wanavyopenda kwenda makanisani, huwa...
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?
Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka
With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua
Nauliza kwanini...
Habari wana JF.
Vijana wengi miaka hii wamekuwa wakipagawa/winda/windwa/jipitishapitisha/tamani sana mijimama lakini pia wake za watu.
Let talk about Mijimama first.
✓ Wakuu Jimama halina jipya utamu wote umeisha kilichobaki labda magojwa tu.
✓Jimama halina faida litakufanya ujisahau...
Kuna wakati mke wa mtu kusaliti ilikuwa a one time, 2 time.. mistake ila sasa hivi wake za watu wanashindana kudanga na wakina "zakia mitikisiko" maana wanakuwa committed na mikopo au miadi inayozidi hali zao au ya wame zao kiuchumi so kinachofatia sasa hawezi kuuza vitu ndani bali alichonacho...
Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini,
Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI!
Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
Salamu
Kuna jamaa yangu tuko nae mtaani huku,huyu jamaa siku nyingi tu niligundua anatoka kimapenzi na mke wa mtu tena ni mke wa ndoa kabisa ya msikitini.baada ya mimi kuligundua hilo nilimshauri jamaa aache hizo mambo ni hatari sana.
Sasa toka mwezi uliopita jamaa yangu ameanza kuumwa gono...
Kuna mdada Leo kanitafuta, ndo nikakumbuka Mikasa baina yake na mimi, Imepita kama miaka mitatu hivi, Kuna tukio lilitokea nikajiapiza Hawa wake za watu ntakaa nao mbali kabisa katika maisha yangu
Turudi nyuma kidogo, nimekulia mkoa ambao Kuna ubabe ubabe wa kijinga Sana , nakumbuka Kuna siku...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Hayo...
Wakati upo busy na Jambo fulani na wenzako wapo kukusaidia kwenye Jambo jingine
Wengine watagongwewa kwenye vitanda na masofa ya waume zao
Inaumiza Sana sema kataa ndoa uwa Wana hoja sometime!!
Naiombea ushindi Simba ubaya ubwera uzalendo kwanza !!
Bw na bibi marejesho
Naomba tu nikujuze kwa kweli ulipofikia sio pazuri
Ingawa baadhi wanawapenda lakini hapana mpunguze makali ktk familia za watu
Wapendwa nimeona niwajuze tu kwenye ndoa kuna mengi sana
Kati ya mambo yanayotesa n marejesho....
Marejesho yamekuwq n shida sana ktk baadhi ya...
Kwanza awali ya yote kwa heshima na taadhima huku nikizingatia itifaki nawasalimu sana vijana wenzangu
Niruke kwenye mada moja kwa moja mimi ni kijana wa makamo nipo kwenye Mid ya 3rd floor (30+) years.
Me nimepata bahat na kibali cha kufanikiwa kwa kiasi flani kwenye maisha japo sio Tajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.