Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

Mi nshagegeda wengi tu, na sijawahi kubadili profile yangu. Mapenzi ya JF ni ya kupeana utamu na experience tu. no string attached.

Ati....???? Kwa hyo hata kwangu no string attached uwiii...
 
mbona mie nipo hatua za mwisho kumpata DEMBA na ni bado kigoli?
 
Ndo maana nimekuuliza how old are you? Manake unauliza nini kitafuata watu jinsia mbili wakikutana...wewe umekuja mjini lini?

Aiseeee..... Kumbe ndio mambo yenyewe!!

Nami nilikuwa sielewi pia..!!
 
Ati....???? Kwa hyo hata kwangu no string attached uwiii...

Hivi nani alikuruhusu usome post iliyoandikwa na mtu aliyehack account yangu?

Mi bhana nakasirikaga sana unavonchomesha mahindi PM kule.
 
Hivi nani alikuruhusu usome post iliyoandikwa na mtu aliyehack account yangu?

Mi bhana nakasirikaga sana unavonchomesha mahindi PM kule.

Hata mimi nlijua account yako iko hacked my dia wangu bas tu nlitaka kuhakikisha
 
u real made my day....bikira ya wapi hii inayotafutwa kwa karne hii na kizazi hiki?au man made virginity kwi kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom