Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

Mpaka akaja kwenye mtandao ujue kapita sehem nyingi. Maisha hayaendi hivyo.
Wazee wetu ndoa zilikuwa zinadumu kwasababu kwanza walikuwa wanawachunguza watoto wao mfano anamwangalia jiran yake malez ya watoto wake je hiyo familia ni wachapa kazi? Je wanamagonjwa yapi ya asili? Je wanaheshima? Na mengine mengi na ndio maana ndoa zilidumu. Lakin hawa wanawake/wanaume wa mtandao ni hatari sana maana huwajui tabia na makuzi yao.
 
Mkuu natamani uwe mshauri wangu kuhusu maswala ya ndoa.
 
Hamna neno maana ndoa ni maisha ndoa ni furaha ndoa ni heshima ndoa ni mbingu ndogo ikiwa wanandoa wanajua nini maana ya ndoa. Lakini ikiwa hawajui ndoa ni laana na wengi wanapata magonjwa ambayo hayakupaswa wawe nayo kwasababu ya uchaguzi wao mbaya wa ndoa. Unapo tazama ndoa waweza ukajua wengi wanafuraha nazo sivyo. Lazima uwe makini sana katika kuangalia nani anakufaa kuwa mke/mme wa maisha yako yote. Umpate mtu muelewa umpate mtu mtafutaji umpate mtu mwenye maono yaani ikiwa leo mmekutana wote mmesoma au hamjasoma awe radhi kukubali kuanza na wewe from the beginning .
Ogopa mke/ mme anakuuliza unafanya kazi wapi au unagari au umejenga fahamu huyo Sio. Ila atakae uliza malengo yako ni nini na unadhani njia gani utatimiza alafu mkashauriana wote huyo anafaaa. Mwanamke/mwanaume ni zaidi ya vitu
 
Mkuu sijawahi kukutana na mwanamke akaacha kuniuliza nafanya kazi wapi? Nimejifunza kitu mkuu asante.
 
Me nna swali tu, hivi mkishakutanaga huko na kugegedana, then kesho yake mnarudi humu kuendelea kuchat kama kawaida au ndo mnabadilisha majina au mnafuta kabisa profile zenu?
 
Sasa ulitaka usilizwe unakofanyia kazi, hujui mwanaume na provider kwenye nyumba? ofcoz hilo ndo swali la muhimu atii
 
Aisee niseme tu mimi nimekutana na wadada wa jf wengi tu na all i can say is 'jf is full of beautiful women' no regret for me.

Mkuu The Boss hii sio promo kweli ngoja nisome btn the line lol
 
Last edited by a moderator:
Me nna swali tu, hivi mkishakutanaga huko na kugegedana, then kesho yake mnarudi humu kuendelea kuchat kama kawaida au ndo mnabadilisha majina au mnafuta kabisa profile zenu?

Tuna chat kwa simu tu...na kupigiana na kuonana again and again...kufarijiana..kupeana moyo kupunguziana stress..lunch a lot and more..how old are you?
 
achana na hayo ya kwenye simu nauliza kinachofuata humu jf baada ya kuwa mmeshaonana?
 
Tuna chat kwa simu tu...na kupigiana na kuonana again and again...kufarijiana..kupeana moyo kupunguziana stress..lunch a lot and more..how old are you?

hahahah mwambie kabisa na kulindana.... hakuna wadada watamu kama wa JF, asikudanganye mtu.
 
Tangu lini umesikia mwanamme nae ana bikra wewe??

Teheeee ndo nakujuza sasa! Kuwa bikra maana yake hujawahi kunaniliu. So hata mwanaume bikra yupo! Kwani issue sio kuwa na "seal" au la! Inapendeza zaidi wazoefu wakaenda kwa wazoefu wenzio, sasa wewe na ndoa ishavunjika wamtafuta na bikra loh kumtia shombo tu mtoto wa watu tafuta gubeli mwenzio mkaanzishe familia!
 
Back
Top Bottom