Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

Me nna swali tu, hivi mkishakutanaga huko na kugegedana, then kesho yake mnarudi humu kuendelea kuchat kama kawaida au ndo mnabadilisha majina au mnafuta kabisa profile zenu?

Mi nshagegeda wengi tu, na sijawahi kubadili profile yangu. Mapenzi ya JF ni ya kupeana utamu na experience tu. no string attached.
 
achana na hayo ya kwenye simu nauliza kinachofuata humu jf baada ya kuwa mmeshaonana?
Ndo maana nimekuuliza how old are you? Manake unauliza nini kitafuata watu jinsia mbili wakikutana...wewe umekuja mjini lini?
 
Mi nshagegeda wengi tu, na sijawahi kubadili profile yangu. Mapenzi ya JF ni ya kupeana utamu na experience tu. no string attached.

Duh, salaleee 😕😕😕 haya wadada mnasaka waume humu mmesikia????????????
 
Ndo maana nimekuuliza how old are you? Manake unauliza nini kitafuata watu jinsia mbili wakikutana...wewe umekuja mjini lini?

mbona kama huelewi swali langu? bwana Aspirin nisaidie kumuelewesha The Boss
 
Me nna swali tu, hivi mkishakutanaga huko na kugegedana, then kesho yake mnarudi humu kuendelea kuchat kama kawaida au ndo mnabadilisha majina au mnafuta kabisa profile zenu?

Tunagegedana na mambo yote kama kawa.
 
Mi nshagegeda wengi tu, na sijawahi kubadili profile yangu. Mapenzi ya JF ni ya kupeana utamu na experience tu. no string attached.

wooah! Mkuu unatisha aisee!!
 
Teheeee ndo nakujuza sasa! Kuwa bikra maana yake hujawahi kunaniliu. So hata mwanaume bikra yupo! Kwani issue sio kuwa na "seal" au la! Inapendeza zaidi wazoefu wakaenda kwa wazoefu wenzio, sasa wewe na ndoa ishavunjika wamtafuta na bikra loh kumtia shombo tu mtoto wa watu tafuta gubeli mwenzio mkaanzishe familia!

Hilo gubeli litazalia wapi? limechoma sindano 8,limeweka vijiti.mambo yote mtoto bikra tu.
 
jamaa wewe gubegumbe na umeachika eti unataka bikira.....
 
Mkuu sijawahi kukutana na mwanamke akaacha kuniuliza nafanya kazi wapi? Nimejifunza kitu mkuu asante.

Ni lazima akuulize ikiwezekana atake na kitambulisho cha kazi kabisa....vinginevyo atajuaje? Kama muuza unga je?
 
Unajua wanawake wengi samahani sihukumu wengi hutafuta material things thus why ukisha jamiiana nao huna interest nao tena kulikuwa hakuna love bali mihemuko ya mwili. Love is beyond of mihemko. Make sure kama mtu anakuuliza kazi jiulize maswali haya.
Ukifukuzwa kazi kuna love?
Ukipata stroke kuna love
Nyumba ikiungua kuna love
Ukifilisika kuna love
Ndoa ni zaidi ya vitu.
 
Hommie..huyu Khantwe kuna mtu anadai kafanywa chizi na yeye sasa ebu tukae kama kamati...

kama ni hivyo, hakuna sababu ya kusubiri bunge la katiba liishe. Twende kwa wananchi tukashtaki.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom