Roman Catholic, KKKT na makanisa mengine makubwa, Vijana wanaosali kanisani kwenu ni ngumu sana kupata Wachumba kanisani, igeni mfumo wa Wasabato SDA

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao ambacho sijakiona kanisa lolote.

katika makanisa yote hayo makubwa sijaona mfumo rafiki wa kuwakutanisha vijana wajuane kwa urahisi kanisani kama uliopo kwa wasabato SDA, ukweli ni rahisi sana kwa kijana kupata mchumba, mke au mume kanisani kama huyo kijana anasali kwa wasabato SDA.

kama madhehbu makubwa hasa Roman Catholic na KKKT wangekuwa na huu mfumo vijana wao wangeoana sana maana madhehebu haya yana bahati ya kuwa na waumini wengi wenye uwezo mkubwa ki uchumi, kielimu etc hivyo Ndoa za vijana wanaosali usharika mmoja zingekuwa nyingi sana makanisani

kwa sasa Ndoa za vijana waumini wa kanisa moja la KKKT ama Roman catholic ni chache sana kwa. Sababu mfumo wa ibada wa makanisa makubwa Tanzania kama KKKT ama Roman Catholic haupo rafiki kwa vijana wanaosali pamoja kujuana. Labda wawe waimba kwaya moja ndio watajuana.

nachoongolea mfumo unawakataa vijana. najua kuna vikundi makanisani Mfano Roma Catholic wana viwawa. tatizo Ni mpaka kijana ajiunge viwawa ndio atapata nafasi ya kuongea na vijana wenzake waliojiunga pia. Hiyo ni complication tayari. Kwa maisha ya kisasa vijana wengi wapo busy kwenye utafutaji kujiunga hivo vikundi ngumu maana vinakutana siku za utafutaji ama siku zisizo za ibada.

Mfumo kama wa wasabato ni mwepesi haumuitaji kijana kujiunga kikundi chochote ili ajuane na kijana mwenzake. Siku hiyo hiyo moja katika wiki atakayoenda kanisani kusali anakutana na vijana wenzake kwa lazima. Maana ibada zao zinaanza na madarasa ambayo yanamlazimisha kijana wa umri fulani aka discuss mambo na vijana wa umri wake jinsia zote wanakaa pamoja wanajadiliana mambo ya kiimani na kimaisha.. hapo lazima ajuane na vijana wenzake wa umri wake hapo kanisani. mwisho wa siku anapata Mume ama Mke haraka.

najua Catholic kuna makundi kama PASADA, jumuia, Beach Mass etc . ila tatizo lake Ni mpaka kijana ajiunge kwenda beach mass ama get together ndio atapata nafasi ya kuongea na vijana wenzake waliojiunga pia. Hiyo ni complication tayari. Kwa maisha ya kisasa vijana wengi wapo busy kwenye utafutaji kujiunga hivo vikundi ngumu maana vinakutana siku za utafutaji ama siku zisizo za ibada. Nimetoa mfano Mfumo kama wa wasabato ni mwepesi haumuitaji kijana kujiunga kikundi chochote ili ajuane na wenzake. Siku hiyo hiyo moja atakayoenda kanisani anakutana na vijana wenzake kwa lazima. Maana ibada zao zinaanza na madarasa ambayo yanamlazimisha kijana wa umri fulani aka discuss mambo na vijana wa umri wake.. hapo lazima ajuane na vijana wenzake hapo kanisani

Ni ngumu kijana aliye bize na utafutaji, aende jumuia jumamosi, kijana huyo huyo aende kanisani ibada tena jumapili, kijana huyo huyo tena aende get together sio rahisi kwa maisha ya kisasa ya vijana wengi. mfumo rafiki ni ile ile siku ya ibada kijana atakayoenda yaani jumapili mazingira ya ibada yawe na urafiki wa waumini ku interact kama makanisa ya wasabato wanavyofanya. kijana aliye kwenye miangaiko. ngumu sana kwenda kanisani zaidi ya mara moja kwa wiki. imagine mtu ameajiriwa simba au yanga kama mchezaji mpira. anaanzaje kwenda kanisani mara mbili ama tatu kwa wiki. ama kijana mfanyabiashara.

KKKT ama Catholic unaweza ukawa unasali na kijana mwenzako kanisa moja ili usiongee nae hata siku moja labda ubahatike muwe jumuiya moja. ila kwa wasabato haiwezekani engagement za vijana ni nyingi kanisani hivyo mtajuana tu
 
ilo sikupingi mzee mim sjawahi kuwa msabato wala mkristo ila najua wasabato wa Dating site yao hiyo Ni rahisi sana kupata mwanamke wa sehemu yoyote ile ya Dunia Tena ni watu walionyoka tu hakuna kona kona na Watu wanafunga Ndoa kila siku kupitia hiyo Dating site yao

hiyo ya dating site yao siijui kwa kweli , ila kwa Tanzania ibada zao tu makanisani zimeweka mazingira mazuri sana kwa kijana kupata mchumba haraka.
 
Toka lini mke akatafutwa? Alafu kanisani? endelea kujidangaya,

Ninachojua mke hatafutwi bali mwanaume rijali na anayejielewa vyema akiwa na dhamira ya dhati ya kuoa basi suala la mwanamke wa kuoa linajidhihirisha machoni pake automatically.
 
Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao ambacho sijakiona kanisa lolote.

katika makanisa yote hayo makubwa sijaona mfumo rafiki wa kuwakutanisha vijana wajuane kwa urahisi kanisani kama uliopo kwa wasabato SDA, ukweli ni rahisi sana kwa kijana kupata mchumba, mke au mume kanisani kama huyo kijana anasali kwa wasabato SDA.

kama madhehbu makubwa hasa Roman Catholic na KKKT wangekuwa na huu mfumo vijana wao wangeoana sana maana madhehebu haya yana bahati ya kuwa na waumini wengi wenye uwezo mkubwa ki uchumi, kielimu etc hivyo Ndoa za vijana wanaosali usharika mmoja zingekuwa nyingi sana makanisani

kwa sasa Ndoa za vijana waumini wa kanisa moja la KKKT ama Roman catholic ni chache sana kwa. Sababu mfumo wa ibada wa makanisa makubwa Tanzania kama KKKT ama Roman Catholic haupo rafiki kwa vijana wanaosali pamoja kujuana. Labda wawe waimba kwaya moja ndio watajuana.

nachoongolea mfumo unawakataa vijana. najua kuna vikundi makanisani Mfano Roma Catholic wana viwawa. tatizo Ni mpaka kijana ajiunge viwawa ndio atapata nafasi ya kuongea na vijana wenzake waliojiunga pia. Hiyo ni complication tayari. Kwa maisha ya kisasa vijana wengi wapo busy kwenye utafutaji kujiunga hivo vikundi ngumu maana vinakutana siku za utafutaji ama siku zisizo za ibada.

Mfumo kama wa wasabato ni mwepesi haumuitaji kijana kujiunga kikundi chochote ili ajuane na kijana mwenzake. Siku hiyo hiyo moja katika wiki atakayoenda kanisani kusali anakutana na vijana wenzake kwa lazima. Maana ibada zao zinaanza na madarasa ambayo yanamlazimisha kijana wa umri fulani aka discuss mambo na vijana wa umri wake jinsia zote wanakaa pamoja wanajadiliana mambo ya kiimani na kimaisha.. hapo lazima ajuane na vijana wenzake wa umri wake hapo kanisani. mwisho wa siku anapata Mume ama Mke haraka.

najua Catholic kuna makundi kama PASADA, jumuia, Beach Mass etc . ila tatizo lake Ni mpaka kijana ajiunge kwenda beach mass ama get together ndio atapata nafasi ya kuongea na vijana wenzake waliojiunga pia. Hiyo ni complication tayari. Kwa maisha ya kisasa vijana wengi wapo busy kwenye utafutaji kujiunga hivo vikundi ngumu maana vinakutana siku za utafutaji ama siku zisizo za ibada. Nimetoa mfano Mfumo kama wa wasabato ni mwepesi haumuitaji kijana kujiunga kikundi chochote ili ajuane na wenzake. Siku hiyo hiyo moja atakayoenda kanisani anakutana na vijana wenzake kwa lazima. Maana ibada zao zinaanza na madarasa ambayo yanamlazimisha kijana wa umri fulani aka discuss mambo na vijana wa umri wake.. hapo lazima ajuane na vijana wenzake hapo kanisani

Ni ngumu kijana aliye bize na utafutaji, aende jumuia jumamosi, kijana huyo huyo aende kanisani ibada tena jumapili, kijana huyo huyo tena aende get together sio rahisi kwa maisha ya kisasa ya vijana wengi. mfumo rafiki ni ile ile siku ya ibada kijana atakayoenda yaani jumapili mazingira ya ibada yawe na urafiki wa waumini ku interact kama makanisa ya wasabato wanavyofanya. kijana aliye kwenye miangaiko. ngumu sana kwenda kanisani zaidi ya mara moja kwa wiki. imagine mtu ameajiriwa simba au yanga kama mchezaji mpira. anaanzaje kwenda kanisani mara mbili ama tatu kwa wiki. ama kijana mfanyabiashara.

KKKT ama Catholic unaweza ukawa unasali na kijana mwenzako kanisa moja ili usiongee nae hata siku moja labda ubahatike muwe jumuiya moja. ila kwa wasabato haiwezekani engagement za vijana ni nyingi kanisani hivyo mtajuana tu
Mabinti Church goers sio warembo! Wana makandokando mengi ya kiuchumi na uelewa! Mwisho wa siku mtaishia kwenye umasikini kwa kusalisali bila kufanyakazi! Nenda mtaani jichanganye kwenye makusanyiko ya harusi, disco, pub, graduation mbalimbali za vyuo mbalimbali n.k! Alafu uwe na "means", yaani hela ya kuzugia! Hukosi mke! Ukiona unalialia na kuandika uzi mreeeeefu! Ujue hela huna! Na kama huna hela mke humuwezi!
 
Topic imeongelea General. Wewe umemu attack mtoa mada yeye ndie analialia

Pia sio kweli kwamba wanawake wanaoenda kanisani ni wabaya sio warembo na ni maskini. Wadada kibao wazuri , mambo safi na hawakosi kanisani kila jumapili
 
Hao wako mawindoni! Usiku ni machangudoa!
 
Wew tafta wa Dini yako au Nenda Sinza kumekucha karibu na Throne Bet kuna kanisa la wasabato wanaweza kukupa Muongozo
Wasabato wana itikadi kali! Wanaweza kuniboa! Namshukuru Mungu ninamke! Sikuwahi kuchepuka! Sidhani hata kama yeye aliwahi! Haya hivyo namshukuru Mungu hatuna utegemezi kwenye mahitaji ya Maisha! Tumeridhika na hela tuliyojaaliwa!
 
kwa sasa Ndoa za vijana waumini wa kanisa moja la KKKT ama Roman catholic ni chache sana kwa. Sababu mfumo wa ibada wa makanisa makubwa Tanzania kama KKKT ama Roman Catholic haupo rafiki kwa vijana wanaosali pamoja kujuana. Labda wawe waimba kwaya moja ndio watajuana.
Vijana hawaendi kanisani siku hizi wanasali mtandaoni isitoshe makanisa yanakamua sana zaka wakati vijana hawana vyanzo vya uhakika wa mapato
 
Back
Top Bottom