Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Wana wa mmu,tangu ndoa yangu ivunjike nimekuwa na juhudi kubwa za kutafuta mke hasa kwenye mitandao cha ajabu ni kwamba nakutana na watu waliokubuhu katika mapenzi, wenye watoto tiari, walioachika au wenye umri mkubwa au wenye matatizo ya kimaisha na anataka atumie mapenzi ya kuwa mke ili atatue matatizo yake.
Kwakweli sijawahi kukutana na bikra. Nilidhani naweza kupata mchumba mzuri kwa kukutana na watu wapya nisiowajua lakini zoezi ni gumu kama chuma.
Kwakweli sijawahi kukutana na bikra. Nilidhani naweza kupata mchumba mzuri kwa kukutana na watu wapya nisiowajua lakini zoezi ni gumu kama chuma.