Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

Humu kuna wa2 wenye heshma na staha zao.pia
 
weka kwanza status yako hapa tuione.

wewe una watoto wangapi, uwezo wako kitandani ukoje, una Tsh ngapi benki n.k. Sio unataka vitu vizuri kumbe we mwenyewe Kapuku tu,
 
Wana wa mmu,tangu ndoa yangu ivunjike nimekuwa na juhudi kubwa za kutafuta mke hasa kwenye mitandao cha ajabu ni kwamba nakutana na watu waliokubuhu katika mapenzi, wenye watoto tiari, walioachika au wenye umri mkubwa au wenye matatizo ya kimaisha na anataka atumie mapenzi ya kuwa mke ili atatue matatizo yake.

Kwakweli sijawahi kukutana na bikra. Nilidhani naweza kupata mchumba mzuri kwa kukutana na watu wapya nisiowajua lakini zoezi ni gumu kama chuma.
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom