BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 2,680
- 4,629
Hongera Kwa kupata Kazi halmashauri, tgs d inakuhusuNimelamba asali
Hongera Kwa kupata Kazi halmashauri, tgs d inakuhusuNimelamba asali
Ila kiukweli serikali iboreshe maslahi ya Watu wa halmashauri.Mkeka usiopendwa na vijana wa jf.
Aya leteni shuhuda za kugoma kureport
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pole mkuu,Wazee humu nilishikwa na homa heavy ,,,,leo hii ndiyo namepata nafuu vipi kuna waliolamba asali humu kwa pdf ya wiki hii ambao wanaenda tamba Halmashauri huko
Shukrani sana,,,,mkuuPole mkuu,
Kama Tamisemi wanauwezo wakutoa vibali kwa tamko moja 21000+ .....Kwel Utumishi hashindwe kutoa 1700+ tena Waziri anasema ni budget 2021/2022...Hapa lawama sina kwa PSRS.Yes boss LGAs and MDAs ni moja wapo among others.... kuhusu pdf Ya database nadhani kila Placement inayotoka/iliyotoka kwnzia March imetoa na watu wa database sidhani kama kuna PDF moja itakayotoka yenye hao watu 1700+ nadhn wameshajumuishwa/wanajumuishwa kila PDF Ya placement..
Naombeni kuuliza kama yupo mwenye kujua hivi nafasi za afisa tawala upande wa MDA Na LGAs wameitwa wangapi mpaka kufikia sasaWazee humu nilishikwa na homa heavy ,,,,leo hii ndiyo namepata nafuu vipi kuna waliolamba asali humu kwa pdf ya wiki hii ambao wanaenda tamba Halmashauri huko
Kada gani hiyo?Japo bado majina 53 lakin sina matumaini . Expectations zangu zimeshuka,nimelose interest ya kufatilia ndomana hata hum siingii sana.
Nipo naendelea na maisha yangu as if nothing happened.
Nimechoka for real
Pole sanaa manka.Japo bado majina 53 lakin sina matumaini . Expectations zangu zimeshuka,nimelose interest ya kufatilia ndomana hata hum siingii sana.
Nipo naendelea na maisha yangu as if nothing happened.
Nimechoka for real
Hongera sanaa mkuuHabari ndugu zangu!
Mimi ni viewer na mchangiaji kidogo kwenye huu uzi.
Namshukuru Sana Mungu na mimi leo nimelamba Asali. Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na maneno yenu ya faraja kipindi chote cha msoto
Wadhubutu kugoma waone cha motoMkeka usiopendwa na vijana wa jf.
Aya leteni shuhuda za kugoma kureport
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Jaman kwenye huu Uzi hakuna watu wa utawala jamnNaombeni kuuliza kama yupo mwenye kujua hivi nafasi za afisa tawala upande wa MDA Na LGAs wameitwa wangapi mpaka kufikia sasa
Una haki ya kugomaMimi nilishawahi kugoma asee nilikua private nalipwa mara 3 ya tgs
Pole sanaa kiongoziWazee humu nilishikwa na homa heavy ,,,,leo hii ndiyo namepata nafuu vipi kuna waliolamba asali humu kwa pdf ya wiki hii ambao wanaenda tamba Halmashauri huko
Shukrani sana ndugu yangu
Umetisha aisee hongera kwa uthubutu ila wengi huwa ni maneno tuMimi nilishawahi kugoma asee nilikua private nalipwa mara 3 ya tgs
Ngoja waje wataalam wakujibu...ila kama umepata serikalini ukiamus kutoka huko nipe shavu nika fill vacancy mana nishachokaWakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).
Nakushauri nenda serikalini, going concern ya private sector is uncertainityWakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k basic per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).