HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yes boss LGAs and MDAs ni moja wapo among others.... kuhusu pdf Ya database nadhani kila Placement inayotoka/iliyotoka kwnzia March imetoa na watu wa database sidhani kama kuna PDF moja itakayotoka yenye hao watu 1700+ nadhn wameshajumuishwa/wanajumuishwa kila PDF Ya placement..
Kama Tamisemi wanauwezo wakutoa vibali kwa tamko moja 21000+ .....Kwel Utumishi hashindwe kutoa 1700+ tena Waziri anasema ni budget 2021/2022...Hapa lawama sina kwa PSRS.

Hili neno mnalosema wanatoa kidogo kidogo wakati mpaka Waziri anazungumza hvyo inamaana wameshayaona magepu hayo. Hapa nakumbuka kauli ya Mbunge wa morogoro aliyowaambia Tamisemi.
Mungu amsimamie Mama(rais) kwenye watendaji wake alikaa nao jana...

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wazee humu nilishikwa na homa heavy ,,,,leo hii ndiyo namepata nafuu vipi kuna waliolamba asali humu kwa pdf ya wiki hii ambao wanaenda tamba Halmashauri huko
Naombeni kuuliza kama yupo mwenye kujua hivi nafasi za afisa tawala upande wa MDA Na LGAs wameitwa wangapi mpaka kufikia sasa
 
Japo bado majina 53 lakin sina matumaini . Expectations zangu zimeshuka,nimelose interest ya kufatilia ndomana hata hum siingii sana.
Nipo naendelea na maisha yangu as if nothing happened.
Nimechoka for real[emoji19]
Kada gani hiyo?
 
Wakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k basic per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).
Vijana mnapenda sana kudanganyana humu mitandaoni,watu wa Halmshauri huko wanatamba tunawaona.Wewe kama umepata Kazi Karipoti,piga kazi.Serikali ya Mhe.Samia imeboresha sana Maslahi ya Watumishi...
NB.Utakuja kuikumbuka hiyo Nafasi ukiacha.Akili za Kuambiwa changanya na zako....
 
Wakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k basic per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).
Kapige kazi serikalini, hiyo laki 9 utaipata tu kwa namna moja ama nyingine.

Serikalini una uhakika wa kazi mpaka utakapofikisha miaka 60, huko private ukikosana tu na HR umeishaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom