#akuongozeHongera Mungu akiongoza ktk utumishi wako
#akuongozeHongera Mungu akiongoza ktk utumishi wako
Asante sana mkuu[emoji120]Hongera Mungu akiongoza ktk utumishi wako
Halmashauri hamna asali, Ile ni wali Maharage,yesamrich leta ushuhuda, nimeona Trade Officer kadhaa wamelamba Asali
Angalau ukiwa na uhakika wa mlo, akili itatulia kwa ajili ya kufikiria mengineHalmashauri hamna asali, Ile ni wali Maharage,
Ni bora kupata ata huo wali maharage kuliko kukosa kabisa ila yoyote kwa yoyote tuendelee kumuomba Mungu sana kila mtu na fungu lakeHalmashauri hamna asali, Ile ni wali Maharage,
Hivi kwa mfano jana nafasi za msaidizi wa uvuvi wametoa kwa watu 11 na walisema 42, so inaweza kuchukua mda gani hadi kuwatoa walibakiaHata Leo possibility ya PDF kuwepo ipo, tena kubwa
Yes boss LGAs and MDAs ni moja wapo among others.... kuhusu pdf Ya database nadhani kila Placement inayotoka/iliyotoka kwnzia March imetoa na watu wa database sidhani kama kuna PDF moja itakayotoka yenye hao watu 1700+ nadhn wameshajumuishwa/wanajumuishwa kila PDF Ya placement..Ninaomba Kuuliza
Sept to Feb 2023 kunataasisi ambayo bado inawait placement(ninamaana imefanya oral)...
Tuzidi kuomba Mungu Data base ya Mhagama (bestlooser) 1700+
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
aysee hongera sana kakaAsante sana mkuu, ni swala la muda tu naamin wote kwenye huu Uzi tutapata
Yes, zipoNinaomba Kuuliza
Sept to Feb 2023 kunataasisi ambayo bado inawait placement(ninamaana imefanya oral)...
Tuzidi kuomba Mungu Data base ya Mhagama (bestlooser) 1700+
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hili swali wanajua utumishi tu, humu in mwendo wa kupiga ramliHivi kwa mfano jana nafasi za msaidizi wa uvuvi wametoa kwa watu 11 na walisema 42, so inaweza kuchukua mda gani hadi kuwatoa walibakia
Hahaha sijawahi kusikia mtu kagoma kwenda huwa ni mbwembwe tu za mtandaoni mfano sisi kwenye halmashauri yetu sijaona kama kuna mtu hajaja nimewaonaMkeka usiopendwa na vijana wa jf.
Aya leteni shuhuda za kugoma kureport
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wagome tuhh!Mkeka usiopendwa na vijana wa jf.
Aya leteni shuhuda za kugoma kureport
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mimi nilishawahi kugoma asee nilikua private nalipwa mara 3 ya tgsHahaha sijawahi kusikia mtu kagoma kwenda huwa ni mbwembwe tu za mtandaoni mfano sisi kwenye halmashauri yetu sijaona kama kuna mtu hajaja nimewaona
Hongera Kwa kupata Kazi halmashauri, tgs d inakuhusuNimelamba asali
Ila kiukweli serikali iboreshe maslahi ya Watu wa halmashauri.Mkeka usiopendwa na vijana wa jf.
Aya leteni shuhuda za kugoma kureport
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pole mkuu,Wazee humu nilishikwa na homa heavy ,,,,leo hii ndiyo namepata nafuu vipi kuna waliolamba asali humu kwa pdf ya wiki hii ambao wanaenda tamba Halmashauri huko
Shukrani sana,,,,mkuuPole mkuu,