Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,773
- 126,713
TGS D ipo sehemu nyingi, ila huko kwingine(Halmashauri) vijisenti vya marupu rupu ndio shidaHongera Kwa kupata Kazi halmashauri, tgs d inakuhusu
TGS D ipo sehemu nyingi, ila huko kwingine(Halmashauri) vijisenti vya marupu rupu ndio shidaHongera Kwa kupata Kazi halmashauri, tgs d inakuhusu
Pole sana mkuu.Wazee humu nilishikwa na homa heavy ,,,,leo hii ndiyo namepata nafuu vipi kuna waliolamba asali humu kwa pdf ya wiki hii ambao wanaenda tamba Halmashauri huko
Fuata nafsi yakoWakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k basic per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).
Acha ufalaTGS D baada ya makato inabaki kodi ya nyumba [emoji23] alafu upangiwe dodoma kwa placement iliyokuweka miezi 6 ukisubiriu bila matumaini. Dah vijana mnapambana
Point kubwa sana mkuu, chagua kulingana na akili yako. Kuna watu ni kazi yao kujaza negativity kwa wengine. Kila mtu ana fungu lakeVijana mnapenda sana kudanganyana humu mitandaoni,watu wa Halmshauri huko wanatamba tunawaona.Wewe kama umepata Kazi Karipoti,piga kazi.Serikali ya Mhe.Samia imeboresha sana Maslahi ya Watumishi...
NB.Utakuja kuikumbuka hiyo Nafasi ukiacha.Akili za Kuambiwa changanya na zako....
I think hata kama uta earn less serikalini kuna advantages nyingi kidogo compared to private, but eitherway ili ufanikiwe lazima ujiongeze mwenywe kokote ambako uko.Wakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k basic per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).
Hongera mkuuHabari ndugu zangu!
Mimi ni viewer na mchangiaji kidogo kwenye huu uzi.
Namshukuru Sana Mungu na mimi leo nimelamba Asali. Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na maneno yenu ya faraja kipindi chote cha msoto[emoji28][emoji28]
Wakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k basic per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).
Nenda serikali . Baada ya miaka 4 utapanda daraja na kuanza kupata basic 990000. Pia kama utakuwa umepangwa ofisi za manispaa/Halmashauri kuna vijisent vya hapa na pale utapata so usijali.
Pia ukiwa ushapata cheki namba ni rahisi kuhamia kwenye asali zaidi kutokana na ulichosomea....mfano ukiingia psrs kuna tangazo la kuhamia BRELA kwa watumishi wa serikali tu so kupata cheki namba ni jambo muhimu sana.
Watakwambia halmashauri haziingizi mapato ila zinatumia tofauti na taasisi kama TRA, TANESCO e.t.c.Ila kiukweli serikali iboreshe maslahi ya Watu wa halmashauri.
Nenda halmashauri mkuu ingawa huo mshahara unaopata sasa utaufika baada ya kutumikia miaka 4.Wakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k basic per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).
Asante sana mkuu.Hongera mkuu
Halmashauri wenye nafuu ni engineers,landsaveya, advocates,doctors, pharmacist, accountants (CPA), lakini wale wa Human resources, public administration, public relations, records mgt, hamna kituNenda halmashauri mkuu ingawa huo mshahara unaopata sasa utaufika baada ya kutumikia miaka 4.
Utaanza na TGTS D1 = Laki 7.3
Baada ya miaka 4 utapanda daraja kwenda TGTS E1= Laki 9.9
Kwa hiyo wasiende!?Halmashauri wenye nafuu ni engineers,landsaveya, advocates,doctors, pharmacist, accountants (CPA), lakini wale wa Human resources, public administration, public relations, records mgt, hamna kitu
Waende tu wakapige KaziKwa hiyo wasiende!?
IT vp?Halmashauri wenye nafuu ni engineers,landsaveya, advocates,doctors, pharmacist, accountants (CPA), lakini wale wa Human resources, public administration, public relations, records mgt, hamna kitu
Nao pia wako vizuri, Kwa sabbu wako tgs e
Halmashauri hizi inategemea na mkurugenzi mlie nae. Mshahara sio issue sana kwasababu tofauti ya TGTS D na E take home ni laki 1.5Halmashauri wenye nafuu ni engineers,landsaveya, advocates,doctors, pharmacist, accountants (CPA), lakini wale wa Human resources, public administration, public relations, records mgt, hamna kitu
Pole sana ndugu yangu na tuombe Mungu akujaalie afya yako iwe salama,asali watu wamelamba tu amshukuru Mungu kwa hilo,sisi wengine bado tunapiga ramli.Wazee humu nilishikwa na homa heavy ,,,,leo hii ndiyo namepata nafuu vipi kuna waliolamba asali humu kwa pdf ya wiki hii ambao wanaenda tamba Halmashauri huko