Professier
Member
- May 5, 2023
- 92
- 124
Mkuuu hebu tutajie kidogo salary scale zao mkuu.Waliopata insurance officer hao wameula kweli kweli TIRA Kuna asali nzito sana hapo nikitaja salary scale zao hapa tutakimbiana humu Wana mishahara mizuri sana
Mkuuu hebu tutajie kidogo salary scale zao mkuu.Waliopata insurance officer hao wameula kweli kweli TIRA Kuna asali nzito sana hapo nikitaja salary scale zao hapa tutakimbiana humu Wana mishahara mizuri sana
Wana utofauti mdogo sana na TRA kwa officer wanaoanza kaziMkuuu hebu tutajie kidogo salary scale zao mkuu.
Degree holder anaanza na ngapi?
Kuna mtu namjua hapo amepewa nafasi TIRA Mungu amtangulie
Kaka mbona unawasema HKL nawewe umetoa formula ya uongo! Hii formula yako ni sawa na kusema marks uliyopata unazidisha kwa mbili, of which haiwezi kuleta jibu la decimal!Itakua wanatafuta asilimia mfano umepata 43 ya 50 watafanya 43/50*100=86 hii ndiyo marks yako.....mwanao asisome hkl!!!!
🙄🙃Wana utofauti mdogo sana na TRA kwa officer wanaoanza kazi kumbuka TRA ni 2M+ kwa officer wapya
Halmashauri TGS E Engineer karibuni Lga,🥴🥴
Na hao kutangaza nafasi tena kwa sasa ni Ngumu at least miaka miwili mpaka mitatu ijayo japo hatuwezi jua lolote linaweza kutokea.
Haujafikiwa nduguwapishi hawafi mapema si tumetoka kuwaongelea muda si mrefu
Yaan Bora wawe wnatoa matokeo ya oralMatokeo ya Oral interview ni muhimu Sana
Unakuta nafasi zilikuwa 5
Wameita kazini 3
Mtu upo njiapanda hujui Kama utapata au hupati.
Maana oral hujui Kama ulifikisha 50+ labda ukawekwa kwenye database
unabaki kujipa matumaini tu kumbe ulikula zako 25 kwenye oral.
hata dalili hakuna 🤣 🤣Haujafikiwa ndugu
Matokeo ya oral NI pdf mkuu ukionao jina ujue ulifaulu haijalishi ni Freshers au ni databaseYaan Bora wawe wnatoa matokeo ya oral
true..What I have notice from those pdf za utumishi, udsm wanaajili zaidi ya mala 5 Kwa mwaka while taasisi nyingine ata mala 1 😜😜. Afu walioko serikalini wanataka watumishi wakuwatumikia mala wapishi, madereva, sekretarieti, madobi, plumver
Unaweza kuona kama udsm wanaajili sana kumbe kuna watu wakishathibitishwa wanapakimbia hivyo wanalazimika kuajili upyaWhat I have notice from those pdf za utumishi, udsm wanaajili zaidi ya mala 5 Kwa mwaka while taasisi nyingine ata mala 1 😜😜. Afu walioko serikalini wanataka watumishi wakuwatumikia mala wapishi, madereva, sekretarieti, madobi, plumver