Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Halmashauri wenye nafuu ni engineers,landsaveya, advocates,doctors, pharmacist, accountants (CPA), lakini wale wa Human resources, public administration, public relations, records mgt, hamna kitu
Halmashauri hizi inategemea na mkurugenzi mlie nae. Mshahara sio issue sana kwasababu tofauti ya TGTS D na E take home ni laki 1.5
Issue ni OT. Mimi nilifanya halmashauri moja tulikuwa tunapewa OT laki 3 kila mwezi ilipita miaka miwili akaletwa mkurugenzi mpya akaondoa OT. Tuliishi maisha magumu sana maana mshahara tulishakopea imebaki take home laki 2.5
 
Wazee humu nilishikwa na homa heavy ,,,,leo hii ndiyo namepata nafuu vipi kuna waliolamba asali humu kwa pdf ya wiki hii ambao wanaenda tamba Halmashauri huko
Pole sana ndugu yangu na tuombe Mungu akujaalie afya yako iwe salama,asali watu wamelamba tu amshukuru Mungu kwa hilo,sisi wengine bado tunapiga ramli.
Hapa tusubiri mpaka lini tena bwana makofia360
 
Halmashauri hizi inategemea na mkurugenzi mlie nae. Mshahara sio issue sana kwasababu tofauti ya TGTS D na E take home ni laki 1.5
Issue ni OT. Mimi nilifanya halmashauri moja tulikuwa tunapewa OT laki 3 kila mwezi ilipita miaka miwili akaletwa mkurugenzi mpya akaondoa OT. Tuliishi maisha magumu sana maana mshahara tulishakopea imebaki take home laki 2.5
  • hizo taaluma nilizokutajia eg land saveyaz hao Wana hela Sana Wengi wao wanafanya Kazi za upimaji ardhi pembeni, nje ya Ofisi na wanapata pesa nzuri sana, Hali kadhalika Afisa Mipango miji, huyu pia ana pesa nyingi za pembeni za kufanya Kazi za pembeni za upangaji wa miji I.e Wana ofisi zao binafsi
  • unasema tofauti ni ndogo lakini kumbuka mwenzio akipandishwa cheo na kuwa tgs f gap litakuwa kiasi gani? bado itakuwa ni 150K?
 
Wakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k basic per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).
Hapa ningekushauri uende Halmashauri tu kwa sababu kuu mbili;

1. Difference ya mshahara ni ndogo sana otherwise ungekuwa unalipwa mara3 au 4 ya mshahara unaopokea sasa.

2. Hakuna kazi ya contract yenye uhakika hata siku moja, tena mbaya zaidi ni ya mwaka mmoja mmoja!
 
Watakwambia halmashauri haziingizi mapato ila zinatumia tofauti na taasisi kama TRA, TANESCO e.t.c
Lakini ukiangalia kuna mashirika kila mwaka yanaingiza hasara na mengine yanakaribia kufa ila mishahara yao iko angani kuliko halmshauri. Pia ziko halmashauri zinaingiza Billions kila mwaka(ILALA,K/NDONI/TEMEKE/MAFINGA/DODOMA JIJI) Ila bado mishahara duni
Well said Mkuu! Tunaambiwa shirika kama TTCL au ATCL ambayo yanapata hasara kila mwaka lakini mishahara yao iko juu, hili nalo inabidi litizamwe..
 
Back
Top Bottom