Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba UTUMISHI, inakuwa ngumu kupata ajira za kudumu hata baada ya kufanya usahili na kufaulu mara nyingi?

Maz725

New Member
Nov 1, 2023
4
1
Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba kupitia utumishi wa umma, inakuwa ngumu sana kupata ajira za kudumu hata baada ya kufaulu katika usaili mara nyingi?

Je, kuna sababu za kipekee au mifumo inayozuia mchakato huu wa kuajiriwa kwa njia ya kudumu?
 
Rafiki yngu mmoja alikua kwnye zile ajira za mkataba za wizara ya ardhi,akafanya interview ya valuer January,now kapata ya kudumu
 
Competition ni kubwa ukibahatik ya mkataba,na still unatakiwa upambane ivo ivo kwenye ya kudumu usijisahau
 
Dawa ya hayo mambo achana na ajira za mkataba omba za kudumu tu kuna katabia la kujisauhau na kumchukulia poa
 
Back
Top Bottom