Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yes boss LGAs and MDAs ni moja wapo among others.... kuhusu pdf Ya database nadhani kila Placement inayotoka/iliyotoka kwnzia March imetoa na watu wa database sidhani kama kuna PDF moja itakayotoka yenye hao watu 1700+ nadhn wameshajumuishwa/wanajumuishwa kila PDF Ya placement..
Kama Tamisemi wanauwezo wakutoa vibali kwa tamko moja 21000+ .....Kwel Utumishi hashindwe kutoa 1700+ tena Waziri anasema ni budget 2021/2022...Hapa lawama sina kwa PSRS.

Hili neno mnalosema wanatoa kidogo kidogo wakati mpaka Waziri anazungumza hvyo inamaana wameshayaona magepu hayo. Hapa nakumbuka kauli ya Mbunge wa morogoro aliyowaambia Tamisemi.
Mungu amsimamie Mama(rais) kwenye watendaji wake alikaa nao jana...

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wazee humu nilishikwa na homa heavy ,,,,leo hii ndiyo namepata nafuu vipi kuna waliolamba asali humu kwa pdf ya wiki hii ambao wanaenda tamba Halmashauri huko
Naombeni kuuliza kama yupo mwenye kujua hivi nafasi za afisa tawala upande wa MDA Na LGAs wameitwa wangapi mpaka kufikia sasa
 
Japo bado majina 53 lakin sina matumaini . Expectations zangu zimeshuka,nimelose interest ya kufatilia ndomana hata hum siingii sana.
Nipo naendelea na maisha yangu as if nothing happened.
Nimechoka for real
Kada gani hiyo?
 
Back
Top Bottom