yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,585
- 4,590
Sijapata hata my dear.Dada yetu mbona Toka April Mosi hajaonekana kwenye JF....
Si alisema ameshakula shavu siku ile
Sijapata hata my dear.Dada yetu mbona Toka April Mosi hajaonekana kwenye JF....
Si alisema ameshakula shavu siku ile
Kuna jamaa nafanya nae kazi hapa, alifanya interview mambo ya umwagiliaji walitoa kwa mkupuo placement 100, yeye hakuemo.Japo bado majina 53 lakin sina matumaini . Expectations zangu zimeshuka,nimelose interest ya kufatilia ndomana hata hum siingii sana.
Nipo naendelea na maisha yangu as if nothing happened.
Nimechoka for real[emoji19]
Vuta subira ndugu yangu,Wala usikate tamaa,muda sio mrefu utakuja humu pia kushukuru.Amini Kwamba.....Japo bado majina 53 lakin sina matumaini . Expectations zangu zimeshuka,nimelose interest ya kufatilia ndomana hata hum siingii sana.
Nipo naendelea na maisha yangu as if nothing happened.
Nimechoka for real[emoji19]
Nakuombea,hizi wanatoa Leo wanatoa Kesho,so vuta subira keka za MDAs na LGAs ni nyingi zinakuja.Wengi wanasubiri....Sijapata hata my dear.
Hongera sana comradeHabari ndugu zangu!
Mimi ni viewer na mchangiaji kidogo kwenye huu uzi.
Namshukuru Sana Mungu na mimi leo nimelamba Asali. Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na maneno yenu ya faraja kipindi chote cha msoto[emoji28][emoji28]
Mbn km mwandiko wa BALENSIAGA huuTGS D baada ya makato inabaki kodi ya nyumba [emoji23] alafu upangiwe dodoma kwa placement iliyokuweka miezi 6 ukisubiriu bila matumaini. Dah vijana mnapambana
Km ulifanya za Halmashauri (Local Government Authority) haijaisha mpk Mwaka uishe. Huko km ulifika Oral kdg Parentage za Kujipata ni nyingi zaidiSijapata hata my dear.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakala wa psrs au?
Siku ikifika, haya yote utayasahau.Japo bado majina 53 lakin sina matumaini . Expectations zangu zimeshuka,nimelose interest ya kufatilia ndomana hata hum siingii sana.
Nipo naendelea na maisha yangu as if nothing happened.
Nimechoka for real[emoji19]
Hongera sana mkuu na kila la kheri katika utumishi wakoHabari ndugu zangu!
Mimi ni viewer na mchangiaji kidogo kwenye huu uzi.
Namshukuru Sana Mungu na mimi leo nimelamba Asali. Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na maneno yenu ya faraja kipindi chote cha msoto[emoji28][emoji28]
PoleeDuuh..kweli kila stage ina stress yake, sikutarajia kama tunaweza kaa muda mrefu hivi, dah
HongeraNimelamba asali
Asante sana mkuu!Hongera sana comrade
Asante sana mkuu! Hatimae nimejoin kwenye group [emoji28][emoji28]Hongera sana mkuu na kila la kheri katika utumishi wako
hiyo background checking na vetting wanataka kujua nini hasa kwa mwajiriwa wao mtarajiwa?Kila siku mnaambiwa wanaochelewesha taratibu za ajira ni hao waajiri wenu ila bado mnakaza ubongo mnawalaumu PSRS.
Haya, mshahara unaanza kulipwa kuanzia tarehe iliyoelezwa kwenye barua ya ajira. Barua ya ajira sio ile ya utumishi, ni ile ya taasisi iliyokuajiri ambayo huwa inataja hadi mshahara.
Kama bado hujaipata hiyo basi hujaajiriwa bado na mwajiri wako bado anakamilisha taratibu za ajira (verification ya vyeti, background check, vetting, processing of check number etc).
Hongera Mungu akiongoza ktk utumishi wakoAsante sana mkuu! Hatimae nimejoin kwenye group [emoji28][emoji28]